mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 896
- 1,435
Kaka hii game tumezidiwa kila kitu labda tuwe na high conversion rate nd pona yetuHii game tumeshindwa hata kupiga pasi nne mpaka sasa bila kupoteza mpira.
Hii low block second half ipunguzwe makali mtu asakwe ameze ndoano Anfield ilawe bonanza tu.