Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii game ngumu sana ila yote ya yote PSG anenda kufa 3
Let's keep our hopes high #YNWAhii game ngumu sana ila yote ya yote PSG anenda kufa 3
Bobby himselfCharacter ya huyu bwana mdogo ya ajabu sana. Sijawahi kumuona akikasirika.
Clinical finisher is not top goal scorer (not must be).Hii "our most clinical finisher" ndiyo ninapojenga hoja yangu.
Yani unacompare na kina Diaz, Nunez na Gakpo ambao ambao hawafiki hata goli 15 kwa msimu?
Kama hoja ya ubora inapatikana kwa kulinganisha Mchezaji na wale walio na ndani ya Timu yake basi Ndani ya EPL tuna Clinical Finisher 20 kwasababu kwenye Timu 20 lazima kila Timu itakuwa na mchezaji kawazidi wenzake kwa numbers. Hata Manure wana Clinical Finisher.
Bro sometimes hizo stats zina mislead ndiyomana ukasema Jota ni Clinical Finisher kuliko Salah unajua kwanini?
Stats zinakusanya mamboengi zikianza na touch na chance available! Sasa Mchezaji kama ndani ya Dakika 90 ana Touch 45 tu na kupata big chances mbili tu akafunga goli 1 lazima atakuwa na rate conversion bora kuliko Mchezaji ambayo kwenye dakika 90 ana touches 75 na akapata big chances 3 akafunga 1.
Sasa huyu ndiyo Salah huwa ana touches nyingi kuliko Jota ndiyomana ana Assist nyingi.
Hivyo tatizo linaanza hapa Mchezaji kuwa kila tukishambulia anakuwa out of position ndiyomana anapata chances za kufunga kidogo then akifunga anaonekana ana best rate of conversation.
Anyway kwa kuwa umeamua kumlinganisha na kina NUNEZ, KAGPO na DIAZ basi sikupingi yeye ni bora kuliko hao kwasababu hao hawajawahi kuwa wafungaji bora yani ni kama vile Kwenye kundi la Vipofu mwenye Makengeza ni Mfalme.
Clinical finisher is not top goal scorer (not must be).
Umechanganya sana kaka.
Umesema nimewalinganisha Diaz Nunez na Gakpo, wakati nimemuweka mpaka Salah au haujamuona Salah hapo.
Clinical finisher regardless of game play, anapimwa kwa conversion rate yake. Unaweza kucheza dakika nyingi na bado ukawa na poor conversion rate.
Ikiwemo xG, big chances and the likes. Nikupe mf. Jota needs few chances to convert into goals thats why last season second best Clinical finisher EPL kaka sio at Liverpool kama unavyosema nimemlinganisha na Diaz, Gakpo na Nunez. Je kwenye chat haujamuona Salah??
Being clinical finisher doesn't mean to be top goal scorer. Gamebya Fulham unakumbuka this season, Jota alikuwa injury akaja his first chance he scored, game vs NF first chance BOOM scored. Hii ndio inayopima clinical finisher. Hii haimaanishi ucheze dk nyingi au kufunga magoli mengi, the amount of big chances you converting.
Nimeona umesema EPL kuna best clinical finisher 20?? Umekusudia clinical finisher ni ST pekee au ? (Mjadala mwingine)
Touches nyingi na assists nyingi hazi define clinical finisher, Narudia tena clinical finisher anapimwa na amepata chances ngapi na amefunga ngapi basi na matarajio ya yeye kufunga ni yapi ? (xG).
Mf. Unaweza kuwa na magoli mengi ila umeyafunga baada ya chances nyingi sana, wakati mwingine anaweza kuwa na Chances chache zinaendana na magoli machache yake.
Kabla ya mimi kusema "our most clinical finisher" ulisema Jota hajawahi kuwahi kuwa clinical finisher, basi bisha kwa data hata hii kauli yako....
Kaka nakuletea na data zaidi pamoja na Salah ni mfungushaji mabao mengi but again Jota is our most Clinical finisher pale Anfield. Waondoe wote Diaz, Gakpo na Nunez, kisha tubaki na
Jota vs Salah.
MSIMU WA 2023/2024
View attachment 3259765
Umeona sasa Salah hapo?? Usiseme tena nimemlinganisha Diaz, Gakpo na Nunez kwamba hawajawahi kuwa wafungaji bora (kwanza
Usinilishe maneno tena kusema nimemlinganisha na Diaz, Gakpo na Nunez Namuweka na Salah.
MSIMU WA 2022/2023
View attachment 3259782
Msimu wa 2020/2021
View attachment 3259786
Muangalie Jota and Salah pekee.
Hizo no. Map yake hii hapa
View attachment 3259790
Kwa hiyo concept ya Clinical finisher ina rely kwenye conversion rate ya chances na xG na sio wingi wa magoli au mins played. Kwa sababu unaweza kucheza dakika nyingi still ukawa against xG and conversion rate, Good living example ni Nunez.
YNWA.
Kwanza: Hapo sikumtaja Salah kwasababu kwangu kumuweka Jota in the same bracket with Salah ni Matusi na kuwakosea heshima kubwa sana Wapenzi wa Soka kote Duniani.
Ndugu Jota hawezi kumfikia Salah kwa chochote haijalishi stats gani utaleta kwasababu nilishakwambia sometimes stats zina-mislead cuz zinategemea na wewe utazitafsiri vipi.
Pili: Halafu hakuna sehemu nimesema Clinical Finisher ni Top scorer ndiyomana Fernando Torres alikuwa Clinical Finisher ila hakuwahi kuwa Top Scorer pale EPL kwa sababu Ronaldo alikuwa Clinical Finisher zaidi yake.
Mimi nimekuhoji wewe kumlinganisha na wachezaji ambao sio wafungaji (Nunez, Gakpo na Diaz) then ukapata kipimo cha ubora wake kisa tu kawashinda hao wanaomaliza na magoli 9 msimu mzima! Huoni kuwa wewe ndiyo umechanganywa?
Stats ilizoweka zinatoa tafsiri kulingana na uelewewa wa anayetafsiri lakini kwangu mimi haziprove chochote hizo kwasababu namba za Salah zinaongea otherwise hivyo mjadala wa Salah na Jota ni INVALID.
Aisee Jota kawazidi sana wafungaji wetu kina Gakpo, Diaz na Nunez lakini hajafikia kiwango cha kuitwa Clinical Finisher unless hujui maana ya CLINICAL FINISHER you can google it.
Ni average and inconsistence player! Nothing else.
Heheh bisha kwa hisia tu kaka, Numbers never liesa, lakini ndio uhalisia huo Jota is a clinical finisher than Salah, sasa hizo ni namba za wataalam wa mpira sio zangu.Kwanza: Hapo sikumtaja Salah kwasababu kwangu kumuweka Jota in the same bracket with Salah ni Matusi na kuwakosea heshima kubwa sana Wapenzi wa Soka kote Duniani.
Ndugu Jota hawezi kumfikia Salah kwa chochote haijalishi stats gani utaleta kwasababu nilishakwambia sometimes stats zina-mislead cuz zinategemea na wewe utazitafsiri vipi.
Pili: Halafu hakuna sehemu nimesema Clinical Finisher ni Top scorer ndiyomana Fernando Torres alikuwa Clinical Finisher ila hakuwahi kuwa Top Scorer pale EPL kwa sababu Ronaldo alikuwa Clinical Finisher zaidi yake.
Mimi nimekuhoji wewe kumlinganisha na wachezaji ambao sio wafungaji (Nunez, Gakpo na Diaz) then ukapata kipimo cha ubora wake kisa tu kawashinda hao wanaomaliza na magoli 9 msimu mzima! Huoni kuwa wewe ndiyo umechanganywa?
Stats ilizoweka zinatoa tafsiri kulingana na uelewewa wa anayetafsiri lakini kwangu mimi haziprove chochote hizo kwasababu namba za Salah zinaongea otherwise hivyo mjadala wa Salah na Jota ni INVALID.
Aisee Jota kawazidi sana wafungaji wetu kina Gakpo, Diaz na Nunez lakini hajafikia kiwango cha kuitwa Clinical Finisher unless hujui maana ya CLINICAL FINISHER you can google it.
Ni average and inconsistence player! Nothing else.
TAA, Salah na Konate hawaendi popoteHawa Real Madrid wanamtaka na Konate huko 😂😂