Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Match day
PSG VS Liverpool
#YNWA

7CA68C09-822E-43C7-86F1-D2560639E0AB.jpeg

FD6A6EB2-F290-43AC-B4A4-B8FC3F7975C3.jpeg
 
Hii "our most clinical finisher" ndiyo ninapojenga hoja yangu.

Yani unacompare na kina Diaz, Nunez na Gakpo ambao ambao hawafiki hata goli 15 kwa msimu?

Kama hoja ya ubora inapatikana kwa kulinganisha Mchezaji na wale walio na ndani ya Timu yake basi Ndani ya EPL tuna Clinical Finisher 20 kwasababu kwenye Timu 20 lazima kila Timu itakuwa na mchezaji kawazidi wenzake kwa numbers. Hata Manure wana Clinical Finisher.

Bro sometimes hizo stats zina mislead ndiyomana ukasema Jota ni Clinical Finisher kuliko Salah unajua kwanini?

Stats zinakusanya mamboengi zikianza na touch na chance available! Sasa Mchezaji kama ndani ya Dakika 90 ana Touch 45 tu na kupata big chances mbili tu akafunga goli 1 lazima atakuwa na rate conversion bora kuliko Mchezaji ambayo kwenye dakika 90 ana touches 75 na akapata big chances 3 akafunga 1.

Sasa huyu ndiyo Salah huwa ana touches nyingi kuliko Jota ndiyomana ana Assist nyingi.

Hivyo tatizo linaanza hapa Mchezaji kuwa kila tukishambulia anakuwa out of position ndiyomana anapata chances za kufunga kidogo then akifunga anaonekana ana best rate of conversation.

Anyway kwa kuwa umeamua kumlinganisha na kina NUNEZ, KAGPO na DIAZ basi sikupingi yeye ni bora kuliko hao kwasababu hao hawajawahi kuwa wafungaji bora yani ni kama vile Kwenye kundi la Vipofu mwenye Makengeza ni Mfalme.
Clinical finisher is not top goal scorer (not must be).

Umechanganya sana kaka.

Umesema nimewalinganisha Diaz Nunez na Gakpo, wakati nimemuweka mpaka Salah au haujamuona Salah hapo.

Clinical finisher regardless of game play, anapimwa kwa conversion rate yake. Unaweza kucheza dakika nyingi na bado ukawa na poor conversion rate.

Ikiwemo xG, big chances and the likes. Nikupe mf. Jota needs few chances to convert into goals thats why last season second best Clinical finisher EPL kaka sio at Liverpool kama unavyosema nimemlinganisha na Diaz, Gakpo na Nunez. Je kwenye chat haujamuona Salah??

Being clinical finisher doesn't mean to be top goal scorer. Gamebya Fulham unakumbuka this season, Jota alikuwa injury akaja his first chance he scored, game vs NF first chance BOOM scored. Hii ndio inayopima clinical finisher. Hii haimaanishi ucheze dk nyingi au kufunga magoli mengi, the amount of big chances you converting.

Nimeona umesema EPL kuna best clinical finisher 20?? Umekusudia clinical finisher ni ST pekee au ? (Mjadala mwingine)

Touches nyingi na assists nyingi hazi define clinical finisher, Narudia tena clinical finisher anapimwa na amepata chances ngapi na amefunga ngapi basi na matarajio ya yeye kufunga ni yapi ? (xG).

Mf. Unaweza kuwa na magoli mengi ila umeyafunga baada ya chances nyingi sana, wakati mwingine anaweza kuwa na Chances chache zinaendana na magoli machache yake.

Kabla ya mimi kusema "our most clinical finisher" ulisema Jota hajawahi kuwahi kuwa clinical finisher, basi bisha kwa data hata hii kauli yako....

Kaka nakuletea na data zaidi pamoja na Salah ni mfungushaji mabao mengi but again Jota is our most Clinical finisher pale Anfield. Waondoe wote Diaz, Gakpo na Nunez, kisha tubaki na
Jota vs Salah.

MSIMU WA 2023/2024
IMG_20250305_153931.jpg

Umeona sasa Salah hapo?? Usiseme tena nimemlinganisha Diaz, Gakpo na Nunez kwamba hawajawahi kuwa wafungaji bora (kwanza

Usinilishe maneno tena kusema nimemlinganisha na Diaz, Gakpo na Nunez Namuweka na Salah.

MSIMU WA 2022/2023

IMG_20250305_153715.jpg

Msimu wa 2020/2021
IMG_20250305_153737.jpg

Muangalie Jota and Salah pekee.

Hizo no. Map yake hii hapa
IMG_20250305_153758.jpg

Kwa hiyo concept ya Clinical finisher ina rely kwenye conversion rate ya chances na xG na sio wingi wa magoli au mins played. Kwa sababu unaweza kucheza dakika nyingi still ukawa against xG and conversion rate, Good living example ni Nunez.

YNWA.
 
Attachments

  • Screenshot_2025-03-05-16-02-36-06_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2025-03-05-16-02-36-06_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    285.5 KB · Views: 2
Salah vs Dembele.

PSG will target our right hand side especially kwa weakness ya Trent defensively. Khvicha Kvaratskhelia, has pace, control i wonder inaweza rejea Trent vs Doku. Its a tough, sababu at Center PSG wana proper targeted man Dembele. Haitakuwa rahisi kwa Vvd and Konate ni kutengeneza loop hole, tayari kuna limit hapo lazima trent apatiwe proper cover of which kwa timu kama PSG ambayo ni beast in term of attacking. But timu za hivi ni nzuri kwa Liverpool unlike low block teams. Slot will respect PSG at Perc de France kama alivyofanya vs City Etihad give them ball and we will find away to reach your GK, but this time might be slightly different. Wait to harm you with counter plus turnovers, yes but still we will try hard to control the game.

Possible line up
Allison
Trent
Konate
Vvd
Robbo
Gravern
Macca
Szobo
Salah
Jota
Diaz
PSG will come with all gears to embarrass us.

Target side RHS.
LFC target areas LHS (Salah's Strength)
PSG front men are power horses, Pace, wafungaji wazuri, wana good connection,

There will be a battle in the middle park of the MF, CL is not a domestic league, hopefully Slot will come with his normal build up 3-2 pattern.

Ynwa
 
Clinical finisher is not top goal scorer (not must be).

Umechanganya sana kaka.

Umesema nimewalinganisha Diaz Nunez na Gakpo, wakati nimemuweka mpaka Salah au haujamuona Salah hapo.

Clinical finisher regardless of game play, anapimwa kwa conversion rate yake. Unaweza kucheza dakika nyingi na bado ukawa na poor conversion rate.

Ikiwemo xG, big chances and the likes. Nikupe mf. Jota needs few chances to convert into goals thats why last season second best Clinical finisher EPL kaka sio at Liverpool kama unavyosema nimemlinganisha na Diaz, Gakpo na Nunez. Je kwenye chat haujamuona Salah??

Being clinical finisher doesn't mean to be top goal scorer. Gamebya Fulham unakumbuka this season, Jota alikuwa injury akaja his first chance he scored, game vs NF first chance BOOM scored. Hii ndio inayopima clinical finisher. Hii haimaanishi ucheze dk nyingi au kufunga magoli mengi, the amount of big chances you converting.

Nimeona umesema EPL kuna best clinical finisher 20?? Umekusudia clinical finisher ni ST pekee au ? (Mjadala mwingine)

Touches nyingi na assists nyingi hazi define clinical finisher, Narudia tena clinical finisher anapimwa na amepata chances ngapi na amefunga ngapi basi na matarajio ya yeye kufunga ni yapi ? (xG).

Mf. Unaweza kuwa na magoli mengi ila umeyafunga baada ya chances nyingi sana, wakati mwingine anaweza kuwa na Chances chache zinaendana na magoli machache yake.

Kabla ya mimi kusema "our most clinical finisher" ulisema Jota hajawahi kuwahi kuwa clinical finisher, basi bisha kwa data hata hii kauli yako....

Kaka nakuletea na data zaidi pamoja na Salah ni mfungushaji mabao mengi but again Jota is our most Clinical finisher pale Anfield. Waondoe wote Diaz, Gakpo na Nunez, kisha tubaki na
Jota vs Salah.

MSIMU WA 2023/2024
View attachment 3259765
Umeona sasa Salah hapo?? Usiseme tena nimemlinganisha Diaz, Gakpo na Nunez kwamba hawajawahi kuwa wafungaji bora (kwanza

Usinilishe maneno tena kusema nimemlinganisha na Diaz, Gakpo na Nunez Namuweka na Salah.

MSIMU WA 2022/2023

View attachment 3259782

Msimu wa 2020/2021
View attachment 3259786

Muangalie Jota and Salah pekee.

Hizo no. Map yake hii hapa
View attachment 3259790

Kwa hiyo concept ya Clinical finisher ina rely kwenye conversion rate ya chances na xG na sio wingi wa magoli au mins played. Kwa sababu unaweza kucheza dakika nyingi still ukawa against xG and conversion rate, Good living example ni Nunez.

YNWA.

Kwanza: Hapo sikumtaja Salah kwasababu kwangu kumuweka Jota in the same bracket with Salah ni Matusi na kuwakosea heshima kubwa sana Wapenzi wa Soka kote Duniani.
Ndugu Jota hawezi kumfikia Salah kwa chochote haijalishi stats gani utaleta kwasababu nilishakwambia sometimes stats zina-mislead cuz zinategemea na wewe utazitafsiri vipi.

Pili: Halafu hakuna sehemu nimesema Clinical Finisher ni Top scorer ndiyomana Fernando Torres alikuwa Clinical Finisher ila hakuwahi kuwa Top Scorer pale EPL kwa sababu Ronaldo alikuwa Clinical Finisher zaidi yake.
Mimi nimekuhoji wewe kumlinganisha na wachezaji ambao sio wafungaji (Nunez, Gakpo na Diaz) then ukapata kipimo cha ubora wake kisa tu kawashinda hao wanaomaliza na magoli 9 msimu mzima! Huoni kuwa wewe ndiyo umechanganywa?

Stats ilizoweka zinatoa tafsiri kulingana na uelewewa wa anayetafsiri lakini kwangu mimi haziprove chochote hizo kwasababu namba za Salah zinaongea otherwise hivyo mjadala wa Salah na Jota ni INVALID.

Aisee Jota kawazidi sana wafungaji wetu kina Gakpo, Diaz na Nunez lakini hajafikia kiwango cha kuitwa Clinical Finisher unless hujui maana ya CLINICAL FINISHER you can google it.

Ni average and inconsistence player! Nothing else.
 
Heheh bisha kwa hisia tu kaka, Numbers never liesa, lakini ndio uhalisia huo Jota is a clinical finisher than Salah, sasa hizo ni namba za wataalam wa mpira sio zangu.

Sijamlingisha Jota na kina Daiz, Nunez na Gakpo pekee yake, mpaka Salah nimemuweka in term of "CLINICAL FINISHER"

Leta mahali number zime mislead,. Debate

Sasa huko mwisho unaniambia ni google maana ya clinical finisher wakati bandiko langu linajieleza.

Clinical finisher anapimwa kwa conversion rate (big chances na xG) yake. Hii ni tafsiir nayaojua mie. Leta wewe maana ya clinical finisher.

Kutafuta clinical finisher hizo inconsistency and average player wala haihusiki, isipokuwa conversion rate yako ya chances yako na XG yako basi.

Sawa kaka, Namba za Salah zinaongea,

Leta namba zake za Chnces conversion rate na XG leta na Jota same then tutaona.

Kusema namba zinaongea tu wakati hauleti sio afya ya mjadala huu, mie nilete namba zitakazo define that Salah is much clinical finisher than Jota,

Yaani simple tu;

1. Prove that Jota vs Salah conversion rate debate is INVALID.

Karibu.

Ynwa"
 
Hii game tumeshindwa hata kupiga pasi nne mpaka sasa bila kupoteza mpira.
Hii low block second half ipunguzwe makali mtu asakwe ameze ndoano Anfield ilawe bonanza tu.
 
Duuh leo mambo si mambo ngoja tuone na hii second half.......
Lakini pitch kubwa sana wazee hao nyie mnaonaje hiyo mikimbio ya diaz szobo na salah haina maana.uwanja ni mkubwa sana
 
Back
Top Bottom