AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
Scoreboard: Liv 0 : 1 Utd
Hiyo scoreboard ya wapi? au itakuwa after 90+???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Scoreboard: Liv 0 : 1 Utd
Hiyo scoreboard ya wapi? au itakuwa after 90+???
Acha visingizio hahaha, kaa hapa mkuu usikilizie maumivu...Muda mfupi ujao, mobile partner yangu itaanza kuwa na kwikwi... Na kupona kwake itategemea sana matokeo ya mechi
Taaarrrrrtiiibu napunguza kasi humu jamvini
Bila Gerrard hii mechi Man U watashinda kirahisi! Mechi si nzuri tena... Namwona kwa nje anachukua nafasi yake kukaa na mashabikiI hope itakuwa game nzuri sana na Waamuzi hawatafanya maamuzi yasiyo na kichwa wala miguu na hatimaye kuipa ushindi timu ambayo haikustahili kwa controversial decisions. 10 minutes to go before the starting time. My prediction 2-1 L'pool.
huangalii mechi wewe? uko mida ya wapi?
Looks like L'pool wako fit kiaina... Lakini ni mwanzo tuuNaona mashabiki wa Man Utd wameingia na MAPUTO y kumwaga leo....lol
Bila Gerrard hii mechi Man U watashinda kirahisi! Mechi si nzuri tena... Namwona kwa nje anachukua nafasi yake kukaa na mashabiki