Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli watu hamlali... Huyu BR anajua anachofanya sio Mourinho na domo lake. Soka safi na la akili,sio viungo kujazana na kukaba km mieleka.
Cc. Ntunzu
Anaitwa Ki...Livepool 2-1 Sunderland mchina75
Mkuu cha muhimu ni ushindi kwanza...clean sheet mbwembwe tu.Liverpool na Clean sheet ni vitu viwili tofauti Aisee..Inaboa sana..
ukilala unaiota eh? Endelea kuifurahisha roho yako kwa kuiumiza mwanaume hawi na wivu wa kike.At best, Liverpool ni mid table team which is having a good season like 2008.
At best, Liverpool ni mid table team which is having a good season like 2008.
Sie Humu hatuna Kelele za kwamba tutapata ubingwa tunachofurahi LFC iliopotokea na hasa hawa ndio wale wale wachezaji wa msimu uliopita, matatizo yote ya LFC bado fans tuna moyo na timu yetu, LFC timu yetu nayo imeonyesha moyo wao upo na mashabiki wanatulipa taratibu sie hatujivunii kwamba tutachukua ubingwa tunachojivunia LFC iliopotokea kufika hapa Top4 na yote sababu ya mapenzi ya mashabiki wa kweli wa LFC! Ubingwa ni Bonus tu timu inaundwa inaundika hukuona LFC hata ikafanya vibaya mashabiki uwanjani wanakauka bado kulikuwa kunajaa. LFC 4 LIFE YNWA!