Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kweli watu hamlali... Huyu BR anajua anachofanya sio Mourinho na domo lake. Soka safi na la akili,sio viungo kujazana na kukaba km mieleka.

Cc. Ntunzu
 
Viungo ndio injini ya timu wewe! Ngoja nije hapo kwenu na hao viungo Wa mieleka uone! Hakuna cha mpira safi sijui nini! Yani nikudhibiti wote!
 
Liverpool na Clean sheet ni vitu viwili tofauti Aisee..Inaboa sana..
 
Mkuu cha muhimu ni ushindi kwanza...clean sheet mbwembwe tu.
Mind you gemu ya leo ni ngumu kuliko maelezo...kucheza na timu inayopambana kutoshuka daraja usipime mkuu!
 
Salami kwa Ntuzu na wenzake...
Sunderland kalalwa mbili moja.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu walivyoona sunderland kapata moja walitamani waje kusema mtapigwa la pili ila wanajuwa hawazezi basi wamechunaa majukwaani kwao hehehehe!!! Rogers apunguze Ego gonga nyingi nazo zinauzi tunataka mabao ila muhimu hizi 3points! LFC YNWA!
 
Mr. Mbishi, kuna ishu zingne siyo lazma Ucomment, coz mwisho wa siku unaweza kuonekana Kichaa Tu, if you're truly a football fan, huwez hata kidogo ukaiita team kama Liverpool ni Just a MidTable team, Hata kama kuna baadh ya vipind ilikuwa ikiperfom vibaya, na sisi kama Mashabiki wa kweli wa liverpool all over the world, Tuliisupport katika yale mapito magum na tutaendelea kuisupport no matter the stuations, and is what we're made of, as Liverpool fans, siyo kama plastic fans wa Manure na ChelShit...

#YNWA
 
Sie Humu hatuna Kelele za kwamba tutapata ubingwa tunachofurahi LFC iliopotokea na hasa hawa ndio wale wale wachezaji wa msimu uliopita, matatizo yote ya LFC bado fans tuna moyo na timu yetu, LFC timu yetu nayo imeonyesha moyo wao upo na mashabiki wanatulipa taratibu sie hatujivunii kwamba tutachukua ubingwa tunachojivunia LFC iliopotokea kufika hapa Top4 na yote sababu ya mapenzi ya mashabiki wa kweli wa LFC! Ubingwa ni Bonus tu timu inaundwa inaundika hukuona LFC hata ikafanya vibaya mashabiki uwanjani wanakauka bado kulikuwa kunajaa. LFC 4 LIFE YNWA!
 
Mkuu Pazi hayo ndo maneno...YNWA!
 
Back
Top Bottom