hahaha...Mashabiki wa Chelshit mna akili mgando sana aisee
mbona umekimbilia kwa Kolo Toure???..wakat kuna Sakho, Skrtel, Agger, GJ, Flanagan, na sidhan kama Toure atacheza kwenye Game ya Chelshit, jwakt centrebacks wa first team wote wapo fiti...
Afu sidhan kama kumkaba "the overRated Hazard itakuwa kaz ya Skrtel mkuu..
hahah, kwann umekimbilia kwa JH na kumwacha SG, coz JH ana kaz tofaut uwanjan sahv..Afu unamzungumzia Matic yupi??, yule aliyopotezwa na viungo wa championship wa Crystal palace???
Hao kina Hazard na mwenzake oscar walikuja msim uliopta Anfield pale nikiwa nipo kwenye form mbovu sana, Walifanya kipi cha maana?????
Afu game yangu na wewe darajan, kama unakumbuka majeruh yalipelekea mpaka Agger achezeshwe namba 3, SG, DS, GJ wote hawakuwepo, afu second half, Allen aliumia pia, nilikuwa na majeruh kibao kwny ile game...lakin ukamalza mpira kwa magol yaleyale mawil ya first half..na uliweka mzik wako FULL..
Agost8, we kazi yako ni kunifikia me nilipo kwa kila kitu, coz kwenye ulimwengu wa soccer nimekuzid kila kitu mkuu, KILA KITU...
1. Trophies
2. Head to head matches
3. Legends
4.Youth Academy
5. Talented players ambao washawah kuchezea LFC
6. Umaarufu wa Team
7. Hadhi ya Team internationally.
8. Players loyality.
9. Mpira wa kuvutia.
10. Die hard Fans all over the world.
NB: sisi tumeanza kuishabikia LIVERPOOL since day one, Chelshit fans wengi nje ya ENGLAND, mlijikusanya kutoka liverpool, Arsenal, ManureUtd kuanzia mwaka 2004...
wewe na Ntuzu kabla ya ile chelsea ya kuanzia 2004, mlikuwa mnashabikia team gan????...na usitudanganye kwamba umeanza kitaaaambo, Huo utakuwa ni uwongo.
PLASTIC FANS.