Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

liverpool = historia
ntuzu unanichekesha sana, unavyowaza kuifunga liverpool anfield pale,

huna mpira wa kuifunga liverpool pale anfield mkuu, huna mpira kabisa ndugu yangu..

Yaan me huwa naiogopa stoke city na southampton kuliko chelshit, sijawah kabisa kuihofia hiyo team yako tangu nimeanza kushabikia mpira..
 
day one ipi hiyo?
hahaha...mashabiki wa chelshit mna akili mgando sana aisee

mbona umekimbilia kwa kolo toure???..wakat kuna sakho, skrtel, agger, gj, flanagan, na sidhan kama toure atacheza kwenye game ya chelshit, wakt centrebacks wa first team wote wapo fiti...

Afu sidhan kama kumkaba "the overrated hazard itakuwa kaz ya skrtel mkuu..

Hahah, kwann umekimbilia kwa jh na kumwacha sg, coz jh ana kaz tofaut uwanjan sahv..afu unamzungumzia matic yupi??, yule aliyopotezwa na viungo wa championship wa crystal palace???

Hao kina hazard na mwenzake oscar walikuja msim uliopta anfield pale nikiwa nipo kwenye form mbovu sana, walifanya kipi cha maana?????

Afu game yangu na wewe darajan, kama unakumbuka majeruh yalipelekea mpaka agger achezeshwe namba 3, sg, ds, gj wote hawakuwepo, afu second half, allen aliumia pia, nilikuwa na majeruh kibao kwny ile game...lakin ukamalza mpira kwa magol yaleyale mawil ya first half..na uliweka mzik wako full..

Agost8, we kazi yako ni kunifikia me nilipo kwa kila kitu, coz kwenye ulimwengu wa soccer nimekuzid kila kitu mkuu, kila kitu...

1. Trophies
2. Head to head matches
3. Legends
4.youth academy
5. Talented players ambao washawah kuchezea lfc
6. Umaarufu wa team
7. Hadhi ya team internationally.
8. Players loyality.
9. Mpira wa kuvutia.
10. Die hard fans all over the world.

Nb: Sisi tumeanza kuishabikia liverpool since day one, chelshit fans wengi nje ya england, mlijikusanya kutoka liverpool, arsenal, manureutd kuanzia mwaka 2004...

Wewe na ntuzu kabla ya ile chelsea ya kuanzia 2004, mlikuwa mnashabikia team gan????...na usitudanganye kwamba umeanza kitaaaambo, huo utakuwa ni uwongo.

Plastic fans.
 
KIKOSI CHA KUKUCHAPA WEWE HISTORIA - LIVERPOOL tunacho.:nod:
ushajiuliza na hicho kikosi chenu mko nafasi ya ngapi na liver wapo nafasi ya ngapi? aston villa wanakikosi gani cha kuwafunga nyie? cardif city je?
 
day one ipi hiyo?

Namaanisha, Hatukujikusanya kutoka team zingne kuanza kuishabikia LIVERPOOL..yaan kwenye suala la ushabik wa teams, Plastic fans wa Chelshit na Man shitty, hamna tofaut yoyote ile...


PLASTIC FANS.
 
Yani Mkuu hapa kwa mkata Umeme Huyu Matic, yani Liverpool watakatiwa Umeme kwenye Grid ya Taifa!

Teh Teh Teh

Watu hawana timu Lkn kutwa wanapiga kelele ndio Maana Mimi nikawaomba wanipe kikosi chao tena mpk Sub Yao na mimi niwape chetu waone!

Tena kuna kijana Salah anakuja vibaya sn! Usije Shangaa Hiyo game ya 27 akaanza ndani!

Kwa mchezaji mmoja mmoja mnatuzidi...hatukatai depth ya kikosi chenu ni kubwa kulinganisha na sisi.

But uelewe cha muhimu ni teamwork plus utaalamu wa mbinu za mwalimu neo vimetufikisha hapa...na hilo lipo wazi kabisa kwa mpenda mpira yeyote duniani anayefuatilia EPL.

Pale Anfield kitakachowafunga ni determination ya wachezaji wetu coz wananjaa ya mafanikio kuliko maelezo...as compared na wachezaji wenu!

Let 27 come...let Chelsea come.
We gonna teach you guys a lesson you will never forget... we are mentally very prepared than EVER!

YNWA...!
 
hahaha...Mashabiki wa Chelshit mna akili mgando sana aisee

mbona umekimbilia kwa Kolo Toure???..wakat kuna Sakho, Skrtel, Agger, GJ, Flanagan, na sidhan kama Toure atacheza kwenye Game ya Chelshit, jwakt centrebacks wa first team wote wapo fiti...

Afu sidhan kama kumkaba "the overRated Hazard itakuwa kaz ya Skrtel mkuu..

hahah, kwann umekimbilia kwa JH na kumwacha SG, coz JH ana kaz tofaut uwanjan sahv..Afu unamzungumzia Matic yupi??, yule aliyopotezwa na viungo wa championship wa Crystal palace???

Hao kina Hazard na mwenzake oscar walikuja msim uliopta Anfield pale nikiwa nipo kwenye form mbovu sana, Walifanya kipi cha maana?????

Afu game yangu na wewe darajan, kama unakumbuka majeruh yalipelekea mpaka Agger achezeshwe namba 3, SG, DS, GJ wote hawakuwepo, afu second half, Allen aliumia pia, nilikuwa na majeruh kibao kwny ile game...lakin ukamalza mpira kwa magol yaleyale mawil ya first half..na uliweka mzik wako FULL..

Agost8, we kazi yako ni kunifikia me nilipo kwa kila kitu, coz kwenye ulimwengu wa soccer nimekuzid kila kitu mkuu, KILA KITU...

1. Trophies
2. Head to head matches
3. Legends
4.Youth Academy
5. Talented players ambao washawah kuchezea LFC
6. Umaarufu wa Team
7. Hadhi ya Team internationally.
8. Players loyality.
9. Mpira wa kuvutia.
10. Die hard Fans all over the world.

NB: sisi tumeanza kuishabikia LIVERPOOL since day one, Chelshit fans wengi nje ya ENGLAND, mlijikusanya kutoka liverpool, Arsenal, ManureUtd kuanzia mwaka 2004...

wewe na Ntuzu kabla ya ile chelsea ya kuanzia 2004, mlikuwa mnashabikia team gan????...na usitudanganye kwamba umeanza kitaaaambo, Huo utakuwa ni uwongo.

PLASTIC FANS.

Pamoja sana mkuu wangu...hawa vijana sometimes tunatakiwa tuwape shule kama hivi.

Aione Ntuzu na Mentor...!

YNWA...!
 
Last edited by a moderator:


mtakapokutana na kiungo mwenye magoli mengi kuliko wote katika historia ya PREMIER LEAGUE; the super frank #8.
Kwa mchezaji mmoja mmoja mnatuzidi...hatukatai depth ya kikosi chenu ni kubwa kulinganisha na sisi.

But uelewe cha muhimu ni teamwork plus utaalamu wa mbinu za mwalimu neo vimetufikisha hapa...na hilo lipo wazi kabisa kwa mpenda mpira yeyote duniani anayefuatilia EPL.

Pale Anfield kitakachowafunga ni determination ya wachezaji wetu coz wananjaa ya mafanikio kuliko maelezo...as compared na wachezaji wenu!

Let 27 come...let Chelsea come.
We gonna teach you guys a lesson you will never forget... we are mentally very prepared than EVER!

YNWA...!
 


mtakapokutana na kiungo mwenye magoli mengi kuliko wote katika historia ya PREMIER LEAGUE; the super frank #8.

Kashaisha huyo saizi...Mouthrinho mwenyewe analijua hilo ndo maana hajamuongeza mkataba.

Labda useme nitakutana na mabeki wanaojifunga...!
 
Pamoja sana mkuu wangu...hawa vijana sometimes tunatakiwa tuwape shule kama hivi.

Aione Ntuzu na Mentor...!

YNWA...!

Chelshit ni team ndogo saaaaana kwa Liverpool...wanalijua hilo, lakin wanajifanya tu wabishi...
 
Last edited by a moderator:
sisi magoli anafunga yeyote:

terry anafunga;
lampard anafunga;
ivanovic anafunga;
cesar azp "dave"; anafunga;
cahill anafunga;
Kusanya misese yako yoooote ile ya pale MBELE...Afu me ntakupa Sturrdge tu uifananishe nayo kwa idad ya magoli.
 
sisi magoli anafunga yeyote:

terry anafunga;
lampard anafunga;
ivanovic anafunga;
cesar azp "dave"; anafunga;
cahill anafunga;

Hahahahahahahah, Liverpool pale...

Skrtel anafunga

Flanno anafunga

JH anafunga

SG anafunga

Coutnho anafunga

Streling anafunga

Allen anafunga

GJ anafunga

suarez na sturrdge wanafungaaaaa

Afu Liverpool baada ya ile Game ya WestHam tulifikish 90 league goals, magoal tisini msim huu...

Suarez na Danny kwa pamoja wana magoal, 49

Hayo 41 mengine wamefunga kina nani??????

we umefkisha magoal mangap msim huu??????
 
tutajua MEI 11.

ligi bado haijaisha..utalia sana wewe wenzako ARSENAL walianza hivyo kama wewe.
Hahahahahahahah, Liverpool pale...

Skrtel anafunga

Flanno anafunga

JH anafunga

SG anafunga

Coutnho anafunga

Streling anafunga

Allen anafunga

GJ anafunga

suarez na sturrdge wanafungaaaaa

Afu Liverpool baada ya ile Game ya WestHam tulifikish 90 league goals, magoal tisini msim huu...

Suarez na Danny kwa pamoja wana magoal, 49

Hayo 41 mengine wamefunga kina nani??????

we umefkisha magoal mangap msim huu??????
 
tutajua MEI 11.

ligi bado haijaisha..utalia sana wewe wenzako ARSENAL walianza hivyo kama wewe.

sina MAJERUHI kama Arsenal mimi

Afu kama hujui, ni kwamba zmebak game 5 tu, 2 away, 3 home..
 
Brendan, Hendo, Heemo and Jonno !

TAYARI baadhi ya wachambuzi wa soka wameanza kutaja jina la Brendan Rodgers kama mtu anayefaa kutajwa kama Kocha Bora wa Mwaka katika Ligi Kuu ya England Msimu Huu.
Rodgers, akiwa katika msimu wake wa pili kuifundisha Liverpool, ameitoa timu kutoka katika nafasi ya saba msimu uliopita na kuifanya kuwa mojawapo ya timu zinazopewa nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu.
Ni kama ndoto vile, siyo?
Wachambuzi wengi waliwahi kusema katika miaka ya nyuma kwamba ni vigumu kwa timu ambayo haikuwamo katika orodha ya timu tatu bora katika msimu uliotanguliwa kuweza kuwa bingwa katika msimu unaofuata; labda kama imewekeza mamilioni ya kutosha ya fedha.
Liverpool imetumia mamilioni lakini ni kidogo kulinganisha na akina Man United, Man City na Chelsea. Katika hali ya kawaida, Liverpool haikutakiwa kabisa kushindania ubingwa na wenzake hao.
Nafikiri wamiliki wa Liverpool waliamua kumsajili Brendan baada ya kuona mechi ile ya misimu mitatu nyuma baina ya Swansea ya Rodgers na Liverpool ya Kenny Dalglish ambapo majogoo wa Anfield walizidiwa kwa kila hali.
Kama Rodgers aliifunika Liverpool namna ile akiwa na kikosi cha kawaida kabisa cha akina Joe Allen, Leon Britton na Ashley Williams, angefanya nini na kikosi kizuri na chenye wachezaji bora zaidi?
Ndiyo maana, Liverpool leo inapendwa si kwa sababu inaongoza ligi tu lakini pia kwa sababu ya staili yake ya uchezaji. Pasi kwa wingi na magoli ya kutosha. Yote hii ni kwa sababu Rodgers ameitengeneza hii timu.
Hakuna mchezaji ambaye amenishangaza msimu huu kama Jordan Henderson (Hendo). Hanishangazi kwa sababu ya stamina yake ya kukimbia kilomita 12 katika mechi moja. Nashangaa kwa sababu msimu huu huyu jamaa amekuwa akipiga visigino vya hatari na pasi za mwisho zenye akili.
Mwaka mmoja uliopita, baadhi yetu tulikuwa tukisema kwamba huyu bwana hana hadhi ya kuchezea Liverpool. Leo hii, hakuna shabiki wa Liver anayeweza kupanga kikosi cha kwanza pasipo kuweka jina la mchezaji huyu.
Halafu anakuja Raheem Sterling (Heemo). Nilisikia habari zake kwa wingi wakati akinunuliwa angali kinda. Akaanza kwa kasi kwenye kikosi cha kwanza msimu uliopita na halafu akapotea.
Msimu huu amerejea na ana kiwango ambacho wengi tulitaraji awe nacho. Anakaba, anatoa pasi za mwisho na ingawa bado ana umbo dogo na angali mdogo, anapambana kama mwanamume uwanjani.
Huyu naye amefaidika sana na mafunzo ya Rodgers.
Mchezaji mwingine ambaye hapewi sifa anayostahili ni Glen Johnson (Jonno). Tangu amerejea kutoka katika majeruhi, Liverpool imeshinda mechi zote. Alipokuwa majeruhi, Liverpool haikuwa ikicheza vizuri.
Ni mlinzi ambaye anapopanda anakuwa na madhara makubwa. Ni aina ya wachezaji ambao huwezi kuona umuhimu wao hadi wanapokuwa hawapo.
Hawa ni baadhi ya mashujaa wangu kwenye msimu huu.
Mwisho- imechambuliwa na Ezekiel Kamwaga on Facebook
 
Back
Top Bottom