Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh Teh Teh
Haka Ka liver vp?!!
Wasipolibeba msimu huu nadhani wanaweza kurudi kugombania position ya 7 na Man Utd Moyo wa kiushindani utakufa na wanaweza kumkosa Suarez wasipobeba kombe.
Teh Teh Teh Teh
Haka Ka liver vp?!!
Liva wana timu nzuri ila hawana mbadala ktk sub
Hawa majamaa walivyo mashabiki maandazi, ona sasa wamekimbia jukwaa..wanagumia maumivu..
hii game liver tunashinda ingawa man city wanakuja kwa kasi xana
Wewe tu ndio umebaki! Wenzako wote wamepotiwa na upepo wakisulisuli!
Teh Teh Teh Teh
Chifu, United mwakani ni title contender..ngoja uone spending ya summer..hivyo loserfools wakishindwa mwaka huu, labda watashindana na goons, si nasikia Wenger anaongezewa mkataba bana....
Wewe tu ndio umebaki! Wenzako wote wamepotiwa na upepo wakisulisuli!
Teh Teh Teh Teh
Haka kauzi kana burudisha sana