Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaha..

Mkuu Agost8 kwnza napenda sana Changamoto zako mwana..inapendeza sana, coz tunasaidiana kujua mengi sana kaka..

Umetumia kigezo cha UEFA club ranking kama ndo kipimo cha team bora kwa sasa, umetoa rank ya 2009 mpk sasa ambayo haijabadilika bado..sasa kwa kigezo cha hiyohiyo UEFA rank unayoitumia ni kwamba umekuwa bora kwa liver kuanzia mwaka 2008-2013 tu, hicho ni kipind mimi ambacho sijashiriki UCL kabisa kaka..na HUJAWA bora zaid ya LIverpool kwa miaka 20 kama unavyosema, kwa mujibu wa hizohizo takwimu za UEFA unazozitumia..

UEFA club rankings- 2006-2008
liverpool ilikuwa ya 3.
chelsea ilikuwa ya 7

UEFA club rankings-2005-2007
liverpool ilikuwa ya 6
chelsea ilikuwa ya 14

UEFA clubs rankings - 2004-2006
liverpool ilikuwa ya 5
chelsea ilikuwa ya 20

UEFA clubs ranking - 2003-2005
liverpool ilikuwa ya 10
chelsea ilikuwa ya 20

UEFA clubs ranking - 2002-2004
Liverpool ilikuwa ya 11
chelsea ilikuwa ya 25.

Kuanzia 90's sjaamua kuziweka hapa coz ingekuwa ni AIBU..

Mkuu Agost8 nilikwambia wewe ni bora zaid ya liverpool kuanzia 2009 mpk 2013 kabla ya August kwasababu mimi nilikuwa nmekosekana kwenye UCL kwa mda mrefu sana kaka..nadhan unalijua hilo..

lakin pamoja na kukosekana kwny UEFA kwa misimu karibia Mi3, kama utacheki kwenye:

UEFA ALL TIME RANKING LIST BY CLUBS - kuanzia 1955 mpaka msimu wa 2012/2013.. bado nimekuacha mbali sana kaka..
1.Madrid
2.Bayern Munich
3.Barcelona
4.Manchester utd
5. Ac milan
6. Juve
7. Benifica
8.LIVERPOOL
9. Dynamo kiev
10.Fc porto

ya 13 ni Arsenal na CHELSEA ni ya 17.

Mkuu Agost8 me nataka uelewe tu kwamba UEFA wanatoa ranks kulingana na clubs ambazo zipo Zinashiriki UCL, Liverpool haikuwepo UCL..

Na nikirud UCL hautakuwa juu yangu tena..coz kwa hizo ranks zimeonyesha kuwa kuna miaka ulichukua PL lakini still nikawa juu yako..Sahiv sipo CL so UEFA hawawez kuniweka hapo kaka..

NB: domination ya BAYERN sahv ulaya ni kubwa sana kulinganish na Barcelona misimu miwil/mitatu iliyopita. so japokuwa ni ranks za UEFA lakin Barca haistahili kuwepo namba MOJA kwa sasa..na ni tangu 2012 nadhan..BAYERN kwangu ni namba Moja..

Kwahyo mkuu agosti8 hujawa bora kuliko mimi kwa miaka 20 kwa mujibu wa UEFA, bali kuanzia 2008-2013..

Na hizo All time uefa club rankings zinaonyesha we bado ni mtoto mdogo saaana Europe!!!!!

NB. Liverpool na Chelsea zote ni club kongwe, coz chelsea ilianzishwa miaka miachache kdg mbele ya Liver, chelsea ilianzishwa mwaka 1905..so kwa ukongwe zote ni KONGWE ila liverpool ndo Ina MAFANIKIO zaidi.

Kama hajakuelewa!?basi.
 
Nimeanza hapa kwa sasa ni generation yetu:

Na mimi najua kwamba huko enzi za 70-80 zilikuwa enzi zako mkuu Mosdef.

Hoja yangu ni ku-prove kwamba we've been better than u for the past two decades!

Hope yo've enjoyed the arguments; i've been positive critic
Mimi nakubadi kwamba kukaa 4 seasons bila UCL kumenishusha sana..

hilo sikatai, lakini Mkuu Agosti8 ukija kwenye hoja ya Ubora kwa kutumia Vigezo vya UEFA rankings, we bado umeshindwa kuwa bora zaid yangu kaka..

Na mimi naomba Ukubali kuwa umeanza kukusanya nguvu kuanzia mwaka 2004..na kwann uishie 1994, usianzie 1990 katika hizo takwim za trophies????
 
Nimeanza hapa kwa sasa ni generation yetu:

Na mimi najua kwamba huko enzi za 70-80 zilikuwa enzi zako mkuu Mosdef.

Hoja yangu ni ku-prove kwamba we've been better than u for the past two decades!

Hope yo've enjoyed the arguments; i've been positive critic

NO...hujawa bora zaid yangu for the past 2 decades..

Hapo tutabishana mpaka kesho!!!

kwann unazikwepa UEFa rankings ambazo mara ya kwanza ulizitumia kama defence yako katika kutuaminisha ubora wa Chelsea na Liverpool for the past 2 decades????

Yaan wewe kuwa juu ya liverpool napinga sana..

kama Kushinda Community shield kwako ni mafanikio basi ni hatar sana mkuu Agosti8..

ukizungumzia kuhusu trophies, Nadhan mtani wako wa London umempita mbal saaana kuanzia 2000's, lakin kwa mujibu wa UEFA arsenal bado amekuwa ni bora zaid yako for the past 2 decades!!!!

Mkuu Agosti8, wewe ulikuwa bora kwngu mimi kuanzia 2009-2013 basi.

Na the fact kwamba hujachukua PL since 2010 unazid kukupunguzia marks kaka katika huo ubora unaousemea kaka..

Na kama mshabiki wa ukwel utakubaliana na mm kuwa for past 2 decades umefanikiwa zaid kwenye FA cup, which is not a good thing kwa Club yako!!!

UEFA rankings dont lie mkuu Agosti8..

Nadhan umezipitia na kuziona mkuu!!!

hebu jaribu kuwa consistency kwa misimu mitano au sita kwenye PL, afu uone kama tutakuwa tunakupigia makelele..
 
kwani GENERATION yetu inaanzia mwaka gani mkuu..

Ukizungumzia 90's mpk sasa, hii ni Generation yetu sisi..

Na UEFA rankings za kuanzia 1990 mpk 2008 nadhan, znaonyesha liver alikuwa BORA zaid yako kaka..

Afu me sidhan kama tunaweza tukapima ubora wa team na trophies za community shield wala Capital one..atleast FA aisee..manake ukiniwekea hivyo vikombe me ntakuwekea vitrophies vingne ambavyo havina mashiko..
 
umepanga kubishana kumbe si kuelimihana?

bakini na jukwaa lenu; ukweli nimetoa LIVERPOOL ilikuwa bora miaka ya 70 na 80 lakini kwa miaka ishirini yote tumekufunika: Mataji 19 kwa 12. Inatosha Mosdef unaona shida kukubali ukweli ..hukuweka mataji yenu mimi ndo nimeweka hapa jamvini kwenu lakini kama ulivyofanya mchana, hupendi chalenji..

:alien:

hahaha..

si nimekuwekea UEFA rankings hzo kaka???

au unapingana nazo sahiv??

we si ndo ulizianzisha hapa au???

Kama unajivunia mpaka NGAO YA HISANI..basi ni hatari aisee!!!

Hujawa bora zaid ya Liverpool, arsenal, Manchester utd for the past 2 decades..
 
FC Liverpool is more than a football club, it's a tradition.
Chelsea has a long way to get to that point.
 
kwani GENERATION yetu inaanzia mwaka gani mkuu..

Ukizungumzia 90's mpk sasa, hii ni Generation yetu sisi..

Na UEFA rankings za kuanzia 1990 mpk 2008 nadhan, znaonyesha liver alikuwa BORA zaid yako kaka..

Afu me sidhan kama tunaweza tukapima ubora wa team na trophies za community shield wala Capital one..atleast FA aisee..manake ukiniwekea hivyo vikombe me ntakuwekea vitrophies vingne ambavyo havina mashiko..

Mkuu MosDef, ipo kazi kubwa sana kuwaelimisha wafuasi wa Chelsea kuhusu inferior status vs the mighty Reds kwa vile wengi wao wameanza kufuatilia EPL during 2000's.

Mimi mwenyewe ninao watoto (mabinti) zangu wawili wafuasi wa Chelsea na Arsenal wamekuwa hawanielewi kabisa eti kwa nini ninashabikia Liverpool ambayo wao wanaiita a failing team licha ya kuwasomesha vya kutosha na statistics za success ya Liverpool.
Msimu huu wameanza kuelewa somo taratibu....infact yule wa Arsenal ameanza kukubali kuvaa tshirt ya Liverpool kuni-support.

So... endelea kumsomesha hivyohivyo huyu dogo, ataelewa somo. Labda tu aendeleze unazi wa kitoto.
 
"When I was younger there was no doubt about it," he said. "I was a United fan, they [Liverpool] were winning everything and it was a horrible time for my club, to be honest, through the 70s, 80s and 90s." - Gary Neville
 
"I have more respect for Liverpool, in a sense of their tradition and their history, than I do some of the other clubs that have come on the scene in the last few years, throwing a load of money at it." He then added pointedly: "They [Liverpool] have got a good history – you have to hand it to them – and they have been successful." -Gary Neville
 
hahaha..

si nimekuwekea UEFA rankings hzo kaka???

au unapingana nazo sahiv??

we si ndo ulizianzisha hapa au???

Kama unajivunia mpaka NGAO YA HISANI..basi ni hatari aisee!!!

Hujawa bora zaid ya Liverpool, arsenal, Manchester utd for the past 2 decades..

usitafute sapoti ya MAN UNITED NA ARSENAL zungumza kama wewe: nimekuwekea mataji yote hayo. Nimetoa kwenye trophy cabinet yenu:

Sikutaka kupunguza kitu: Ila si lazima ukubali...amini upendacho.
Unabadilika; mara unasema unashukuru kwa chalenji mara unsema Chelsik huelewiki; ulipoweka mataji yako mimi sikupinga. Uliposema yote uliyosema; mie naleta hoja WEWE UNAOGOPA SANA KUHESABU MATAJI ULIYOPATA KWA MIAKA 20 KWA SABABU HUPENDI KUJUA UKWELI.

ukweli mchungu!🙂
 
Very true mkuu Al Sharpton; miaka ya 70 na 80 walikuwa imara sana..sasa LIVERPOOL wamebaki na History tu; WE CONTROL THE PRESENT TENSE.
"I have more respect for Liverpool, in a sense of their tradition and their history, than I do some of the other clubs that have come on the scene in the last few years, throwing a load of money at it." He then added pointedly: "They [Liverpool] have got a good history – you have to hand it to them – and they have been successful." -Gary Neville
 
History belongs to YOU. but we CONTROL THE PRESENT .. you had your time;
Mkuu MosDef, ipo kazi kubwa sana kuwaelimisha wafuasi wa Chelsea kuhusu inferior status vs the mighty Reds kwa vile wengi wao wameanza kufuatilia EPL during 2000's.

Mimi mwenyewe ninao watoto (mabinti) zangu wawili wafuasi wa Chelsea na Arsenal wamekuwa hawanielewi kabisa eti kwa nini ninashabikia Liverpool ambayo wao wanaiita a failing team licha ya kuwasomesha vya kutosha na statistics za success ya Liverpool.
Msimu huu wameanza kuelewa somo taratibu....infact yule wa Arsenal ameanza kukubali kuvaa tshirt ya Liverpool kuni-support.

So... endelea kumsomesha hivyohivyo huyu dogo, ataelewa somo. Labda tu aendeleze unazi wa kitoto.

[h=1]An in depth interview with United's own Captain Courageous[/h]

I saw men screaming, witn tne veins coming out of their neck, on Deansgate_the day after we won the European Cup. Nothing in their life made them do that before, nothing in their life made them do it since. You can spend 30 quid on nothing these days, on absolute rubbish. Or you can get the buzz of your life out of watching UniteI always tell the young players here if you look down at your shirt and see a Manchester United badge, you're not having a bad day. You're doing all right. The day I don't have the United badge on my chest will be a sad one for me. I don't think I can ever have the same feeling playing for another football club.
"I ’m not naive enough to think there is only Man United. Barcelona, Real Madrid, Juventus, Milan and Bayern Munich have more than got enough right to suggest they’re at the very top of the game, with United and Liverpool. Those clubs are the ones with the real tradition and history and power. They have the immense following.
Others can try, but nobody breaks into that.

And they never will." - Gary Neville

Read more: Gary Neville: United in my veins | Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook

I'm not naive enough to think there is only Man United. Barcelona, Real Madrid, Juventus, Milan and Bayern Munich have more than enough right to suggest they're at the very top of the game, with United and Liverpool. Those clubs are the ones with the real tradition and history and power. They have the immense following. Others can try, but nobody breaks into that. And they never will

I'm not naive enough to think there is only Man United. Barcelona, Real Madrid, Juventus, Milan and Bayern Munich have more than enough right to suggest they're at the very top of the game, with United and Liverpool. Those clubs are the ones with the real tradition and history and power. They have the immense following. Others can try, but nobody breaks into that. And they never will.
 
What you think of yourself matters more than what people may think about you......

once blue always blue..
 
it's his own feelings; mbona tulipochukua ubingwa wa CHAMPIONS LEAGUE alishangilia kama 'chizi'? Fanya research uone G. Neville alishangilieje siku CHELSEA wanachukua ubingwa barazani kwa BAYERN MUNICH.
An in depth interview with United's own Captain Courageous

I saw men screaming, witn tne veins coming out of their neck, on Deansgate_the day after we won the European Cup. Nothing in their life made them do that before, nothing in their life made them do it since. You can spend 30 quid on nothing these days, on absolute rubbish. Or you can get the buzz of your life out of watching UniteI always tell the young players here if you look down at your shirt and see a Manchester United badge, you're not having a bad day. You're doing all right. The day I don't have the United badge on my chest will be a sad one for me. I don't think I can ever have the same feeling playing for another football club.
"I 'm not naive enough to think there is only Man United. Barcelona, Real Madrid, Juventus, Milan and Bayern Munich have more than got enough right to suggest they're at the very top of the game, with United and Liverpool. Those clubs are the ones with the real tradition and history and power. They have the immense following.

Back
Top Bottom