Fisadidagaa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 962
- 235
Hahahaha..
Mkuu Agost8 kwnza napenda sana Changamoto zako mwana..inapendeza sana, coz tunasaidiana kujua mengi sana kaka..
Umetumia kigezo cha UEFA club ranking kama ndo kipimo cha team bora kwa sasa, umetoa rank ya 2009 mpk sasa ambayo haijabadilika bado..sasa kwa kigezo cha hiyohiyo UEFA rank unayoitumia ni kwamba umekuwa bora kwa liver kuanzia mwaka 2008-2013 tu, hicho ni kipind mimi ambacho sijashiriki UCL kabisa kaka..na HUJAWA bora zaid ya LIverpool kwa miaka 20 kama unavyosema, kwa mujibu wa hizohizo takwimu za UEFA unazozitumia..
UEFA club rankings- 2006-2008
liverpool ilikuwa ya 3.
chelsea ilikuwa ya 7
UEFA club rankings-2005-2007
liverpool ilikuwa ya 6
chelsea ilikuwa ya 14
UEFA clubs rankings - 2004-2006
liverpool ilikuwa ya 5
chelsea ilikuwa ya 20
UEFA clubs ranking - 2003-2005
liverpool ilikuwa ya 10
chelsea ilikuwa ya 20
UEFA clubs ranking - 2002-2004
Liverpool ilikuwa ya 11
chelsea ilikuwa ya 25.
Kuanzia 90's sjaamua kuziweka hapa coz ingekuwa ni AIBU..
Mkuu Agost8 nilikwambia wewe ni bora zaid ya liverpool kuanzia 2009 mpk 2013 kabla ya August kwasababu mimi nilikuwa nmekosekana kwenye UCL kwa mda mrefu sana kaka..nadhan unalijua hilo..
lakin pamoja na kukosekana kwny UEFA kwa misimu karibia Mi3, kama utacheki kwenye:
UEFA ALL TIME RANKING LIST BY CLUBS - kuanzia 1955 mpaka msimu wa 2012/2013.. bado nimekuacha mbali sana kaka..
1.Madrid
2.Bayern Munich
3.Barcelona
4.Manchester utd
5. Ac milan
6. Juve
7. Benifica
8.LIVERPOOL
9. Dynamo kiev
10.Fc porto
ya 13 ni Arsenal na CHELSEA ni ya 17.
Mkuu Agost8 me nataka uelewe tu kwamba UEFA wanatoa ranks kulingana na clubs ambazo zipo Zinashiriki UCL, Liverpool haikuwepo UCL..
Na nikirud UCL hautakuwa juu yangu tena..coz kwa hizo ranks zimeonyesha kuwa kuna miaka ulichukua PL lakini still nikawa juu yako..Sahiv sipo CL so UEFA hawawez kuniweka hapo kaka..
NB: domination ya BAYERN sahv ulaya ni kubwa sana kulinganish na Barcelona misimu miwil/mitatu iliyopita. so japokuwa ni ranks za UEFA lakin Barca haistahili kuwepo namba MOJA kwa sasa..na ni tangu 2012 nadhan..BAYERN kwangu ni namba Moja..
Kwahyo mkuu agosti8 hujawa bora kuliko mimi kwa miaka 20 kwa mujibu wa UEFA, bali kuanzia 2008-2013..
Na hizo All time uefa club rankings zinaonyesha we bado ni mtoto mdogo saaana Europe!!!!!
NB. Liverpool na Chelsea zote ni club kongwe, coz chelsea ilianzishwa miaka miachache kdg mbele ya Liver, chelsea ilianzishwa mwaka 1905..so kwa ukongwe zote ni KONGWE ila liverpool ndo Ina MAFANIKIO zaidi.
Kama hajakuelewa!?basi.