Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hi, wana jf na THE KOP. Im new comer.
Hii ndo nafasi pekee wana Anfield, km kesho tutamla Norwich it means tuko juu kwa 4 points thidi ya wapinzani wetu. So, hata tukipoteza game 1 na kushinda zilizobaki tunanyanyua kwapa.
"The Long Wait"

Sahihisho....ni point 5 kileleni!
 
Hi, wana jf na THE KOP. Im new comer.
Hii ndo nafasi pekee wana Anfield, km kesho tutamla Norwich it means tuko juu kwa 4 points thidi ya wapinzani wetu. So, hata tukipoteza game 1 na kushinda zilizobaki tunanyanyua kwapa.
"The Long Wait"

MKUU point 4????
ww unaangalia lig IPI MKUU
kama ni hii ya EPL kesho liver akishinda atakuwa anaongoza kwa point 5 dhidi ya Chelsea na 9 dhidi ya man city
 
Hi, wana jf na THE KOP. Im new comer.
Hii ndo nafasi pekee wana Anfield, km kesho tutamla Norwich it means tuko juu kwa 4 points thidi ya wapinzani wetu. So, hata tukipoteza game 1 na kushinda zilizobaki tunanyanyua kwapa.
"The Long Wait"

Karibu mkuu!
Waalike na wenzio waambie LFC ndo habari duniani kwa sasa...!

YNWA!
 
Nuksi mwingine huyu hapa

Tukishinda kesho, nerves za vijana zita-settle kwa mechi zote zinazofuata. Tukiboronga kesho, matumaini yote yata-crumble na ndiyo ndoto itakuwa imeishia hapo.

Tactical nous ya Brendan Rodgers ninaiminia sana kwa timu ambazo ziko predictable kiuchezaji kama Crystal Palace.....so Pulis hanipi pressure kabisa! Wasiwasi ni kwa hivi vitimu visivyotabirika kama Norwich, Sunderland, etc.
 
Mkuu kesho tunatengeneza goal difference nzuri tu...!
 
Ntunzu na Agosti 8 wako wapi? Lool hahahahaha

Sitaki kuongea sana...tusubiri kesho.
 
Hodi Hodi humu ndani!

Wakuu Hizi hujuma haziwafikishi popote! Ndoo mtaikosa tu msimu huu!
 
Mkuu aksante Mkuu! Ndio mambo kaka! Ila nahisi km kuna hujuma vile?

Hujuma gani?

Mourinho akifungwa ndo anakuwa hivyo, watu washamzoea..kwanzia Italian press na ma refa zao hadi la liga..yeye mtindo wake wa (sisi chelsea/r.madrid/inter milan vs everybody else) unaanza kuchosha..alipoteza ramani la liga hivyo hivyo na sasa unaona, asipokuwa mwangalifu atapoteza ramani premier league ambapo ndo sehemu iliyobaki anapata kiheshima kidogo.

Mourinho inabidi abadilike..he is a sour man, he looks lost, he looks depressed..mtindo wake inabidi ubadilike. Kwanza nashangaa kwanini hujamtukana sana sana..mmepoteza mechi za kijinga tangia mwezi uliopita, Villa, Palace na sasa Sunderland. Nashangaa huoni pattern hapo. Na mechi kama hii ndo mlikuwa mnahitaji mtu kama Mata.

Mourinho huyu si wa 2004-07..hata wewe inabidi ujue hilo...nyie wenyewe mnajua kwanini mlimuondoaga kocha kifaa kama Ancelloti.

Hata kama Mourinho akishinda Champs league, trust me na kila football pundit anasema hivyo, hafai kuwa Chelsea zaidi ya hata miaka 2.
 
Tatizo la Chelsea walianza kuizungumzia Liverpool mapema sana na wakamsahau Gus Poyet...hata ukiangalia mashabki wao humu walikuwa wanaimba tuuu...kwamba tutaifunga liverpool wakati meche ya Sunderland inawasuburi......inabidi muige mfumo wa liverpool yaani mechi iliyo mbele yetu ndio mechi ya muhimu....sis mawazo yetu yote yapo CARROR ROAD kwa sasa.
 
Mbona sijaona comment hata moja ya Man united humu🙂
 
Hodi Hodi humu ndani!

Wakuu Hizi hujuma haziwafikishi popote! Ndoo mtaikosa tu msimu huu!

ingia pita mpaka barazan kuna uji raini utaukuta kwenye bakuri enderea kuunywa taratibu ukinyoosha utumbo maana walichokufanya Sunderland Jana sio kidogo.
 
Leo tunajihakikishia ubigwa
usikose kuangalia mechi saa nane live!
Liverpool vs Norch cty
 
Back
Top Bottom