Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Steven gerrad kauwaaa timu basi tena ni kalale Mie hakuna hata moja tunalofanya.
 
Ba ameipatia chelsea bao la kwanza, Job K niliwambieni mumchunge sana huyu ba
 
Last edited by a moderator:
Big big mistake. Chelsea watalileta bus lao itakuwa vigumu kwa Liverpool kushinda lakini nadhani wanaweza kutoa draw
 
Job K jiandaeni kukutana na na malori, mabasi, makontena na mabehewa yote ya TAZARA na reli ya kati kipindi cha pili, vipi mtapenya?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom