Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ilikuwa tarehe 27; sasa imekuwa tarehe 11 Mei.

Mlisema pale ni ANFIELD sasa mnasema ANTI-FOOTBALL.
Sisi tulicheza 4-3-3 ninyi pia mlicheza 4-3-3. Tatizo ni kwamba LIVERPOOL wanaanguka kwenye uwanja wao wenyewe..🙂
Morinyo anacheza Ant-Football formation!

Pamoja na yote mtakuja kutupongeza hapa tar 11 May tukiwa tunabeba ndoo yetu!
 
huyu naye kajificha wapi jamani?
Dah! Ni bora tu umeisha.
Sasa atakae kuja gheto (anfield) ni wetu, tutachinja na tutakula mpaka mifupa.
Hii ndio ilokuwa game ngumu kwetu.

alikuwa anajitamba baada ya kushinda NORWICH CITY.
 
Hii hapa chini nimeikuta kwenye BBC Sport live streaming....hawa jamaa wana utani mbaya sana kwa aunt Josephine Maureen.. Ahahahahaaaaaaa!!

.............."...".................................

Dear Mr Rodgers,

Please excuse some of my Chelsea first-teamers from the game today for the following reasons:

i - illness and injury, in the case of John Terry and Petr Cech

ii - detention, in the case of Ramires

iii - revision ahead of a big test on Wednesday, in the case of most of the rest

I know it has been some time since Liverpool were in the Champions League, but I ask for your understanding in this matter.

Best wishes,

Mr Mourinho

kawatishe watoto.🙂
 
Ilikuwa tarehe 27; sasa imekuwa tarehe 11 Mei.

Mlisema pale ni ANFIELD sasa mnasema ANTI-FOOTBALL.
Sisi tulicheza 4-3-3 ninyi pia mlicheza 4-3-3. Tatizo ni kwamba LIVERPOOL wanaanguka kwenye uwanja wao wenyewe..🙂

kwani aliyewakosesha kombe nyie aliwadondokea kwenye uwanja wa nani? kumbuka sunderland
 
Poleni Sana wakuu BR anakwambia "there were probably two buses parked today" na statement ambayo imenikuna hii hapa aisee "Jose has got his result today credit to chelsea, ts the oposite of how we want to play. It's not difficult to coach 10 players in the 18 yard box."
unajuwa mtu ukaishindwa unarukia wanaosema wengi kuhusu kuweka Bus nyuma ila. Chelsea Jana namna Bus walivyoweka kwa Akili na waliweka vizuri sio lile Bus wanatoa Draw linaonekana bovu tatizo lilikuwa kwa LFC ukiona mtu anaweza Bus na unahitaji hata Draw weka Bus tulieni na nyie na uhakika timu Kama Manchester United sababu waliopitia muda Kama ule wangetulizana nao kuweka Bus watoe draw mchezo umeisha ku win Ligi ya Uengereza usitegemee kucheza style football game zote lazima game zengine ucheze kinyama LFC players ndio waliotakiwa kupoteza muda na mpira ukitoka wao ndio walitakiwa wasirushe mapema Morinho na msimu anajuwa mind games yeye hulalamika watu hawachezi football ila naye muda mwengine anafanya Hilo analalamika watu hawarushi au kurudi Shaa mpira mapema naye anafanya hilo Hilo si kwamba anajali anacholalamika yeye anatizama yake Morinho anafundisha players Kuwa dirty sehemu inayotakiwa dirty ukitoka fair play Kama LFC na Arsenal ndio matokeo tunabaki kulalamika LFC siku nyengine time Kama ile watajifunza Kuwa Dirty Kimpira kuelewa hakuna Fair play wewe humjali mwenzako usitegemee atakujali LFC walipewa Game ya Draw na. Chelsea ila wao akili ilikuwa kwenye kushinda mpaka nyuma kulibaki wazi ndomana nasema Chelsea Bus lile lakusifiwa na kuigwa ikifikia muda Kama ule.
 
Time wasting from the first 10mns to the end, was bordering on the laughable all the time...CLASSLESS TEAM!!
View attachment 154404

Mnapaswa kukubali kufungwa,kipindi cha kwanza refa aliongeza dakika 4 dakika ya 3 mkafungwa goli baada ya dk 90 refa aliongeza dakika 4 again dakika ya 3 mkafungwa goli la pili.Ile game hata ingeongezwa nusu saa still mngefungwa in short hamkuwa na plan B then mna kikosi kidogo bench halikuwa na wachezaji WA kubadilisha mechi
 
What you're talking is irrelevant! Pamoja na kwamba refa ana nafasi ya kuongeza muda lakini time wasting is not gamesmanship na inaharibu moves and fluidity which is what called football. Kama utakumbuka hazard alimfua teke ball boy when chelshit played swansea, special mouth alimkaripia ball boy wa palace na baadaye alijaribu kujikosha kwamba alimwambia mtoto asifanya mchezo wa kupoteza muda... maureen should be ashamed of himself...hayo ni maneno ya mtu anayeonekana kumnyima stevei G kurusha mpira, dk 10 tu toka mpira kuanza...your coach is a disgrace!!

Acha kulialia haitasaidia kitu Chelsea hawakufunga magoli kwa sababu ya kupoteza muda,timu yako iliishiwa mbinu
 
Acha kulialia haitasaidia kitu Chelsea hawakufunga magoli kwa sababu ya kupoteza muda,timu yako iliishiwa mbinu

chelsea hawakuwa na mpango wa kushinda ile mechi,walishinda kutokana na mazingira ya mchezo tu,angalia,walianza kupoteza muda kuanzia dk ya kwanza,pale tulitakiwa na sisi tupaki basi,kama wao,tuliporuhusu goli,hakukuwa na jinsi,lazima tungecheza vile ili kusawazisha,kitu ambacho kilikuwa risk kwetu,nina hakika tusingeruhusu lile goli,tusingepoteza ile mechi.
 
Hiyo gemu ishapita saizi tunaangalia ya CP...one game at a time!

YNWA!
 
'Brendan is somebody I consider my friend. Of course I know his words after the match but I also know his words today. Today he told me "Congratulations for a great victory and a great performance".

'Especially because he is somebody I consider a friend, and I like, I prefer to forget the words after the match and keep the words of today. He's an intelligent guy and I believe that after the match he watched it on video and now he understands what happened
.' - Maneno ya the Master Jose Mourinho.

Hiyo gemu ishapita saizi tunaangalia ya CP...one game at a time!

YNWA!
 
chelsea hawakuwa na mpango wa kushinda ile mechi,walishinda kutokana na mazingira ya mchezo tu,angalia,walianza kupoteza muda kuanzia dk ya kwanza,pale tulitakiwa na sisi tupaki basi,kama wao,tuliporuhusu goli,hakukuwa na jinsi,lazima tungecheza vile ili kusawazisha,kitu ambacho kilikuwa risk kwetu,nina hakika tusingeruhusu lile goli,tusingepoteza ile mechi.

Bayern Munich wamecheza kama mlivyocheza: Real Madrid wamecheza kama tulivyocheza. Sasa umeona kilichotokea jana?

Mpira magoli rafiki: Bayern Munich 64%, Real Madrid 36%.
 
waambie hawa majamaa..maana walishaanza kutangaza ubingwa eti?

ha ha ha sasa wanalikimbia jukwaa.🙂
Acha kulialia haitasaidia kitu Chelsea hawakufunga magoli kwa sababu ya kupoteza muda,timu yako iliishiwa mbinu
 
still kombe ni letu as Connor wickham a born.liverpool fan alivyowanyamazisha chelshit na man city ndivyo hvy hvy leyton baines and barkley two born liverpool fans watakavyoibyamazisha man city this saturdei....just wait n see
 
Back
Top Bottom