Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nitawalaumu daima DM,hakuna kitu pale! Na sikuona 7bu ya SG kucheza DM wkt tunaongoza 3,SG sio natural DM,tatizo letu ni hapo2,hebu angalia,tunacheza 4-1-3-2? Unamtegemea gerald asimame peke yake kati? Uliangalia game yett na swansea? Makosa yaleyale ndo kama haya ya leo.

nmeshamwambia Pazi hapo juu kuwa kwa game jinsi ilivyokuwa inaendelea Gerrard hakutakiwa kuendelea kucheza katika ile defensive role!!!

Na hata hivyo mimi siku zote nitaendelea kuipigia kelele back four ya Liverpool, ni Mbovu sana, na inauma kuona kocha ameshindwa kuliona Hilo..

Daniel Agger, ni 100times better than Sakho!!!..hutakiwi kumweka bench hasa kwenye Game kam hii!!
 
GJ,sio mbaya hivyo,sema hatakiwi kuwa kwenye 1st eleven ya lfc! Yule mchezaji ni wa kukaa benchi kbs,agger akiondoka itaniuma sana!

tukubaliane tu ukweli, GJ has to go aisee!!!

Na DAGGER ni ovias kuwa anaondoka this summer..hawez kuacha nafasi ya kwenda kucheza first eleven ya Barcelona pamoja na Messi..wakat kwenye anawekwa bench na mtu kama Sakho huku Liverpool..

Na am telling umuhimu wa watu kama Agger na Lucas utaonekana sana pale watakapoondoka!!

and mind you, Agger is irrepreciable!!
 
Beki yenu yote ni mbovu (Toure,Flanagan,Agger,Skirtel,Johnson) Caragher angekuwepo angewasaidia sana strength yenu ni foward,baada ya Henderson kufungiwa timu yenu imepwaya sana kwenye kiungo.Nilishasema bado mna kikosi kidogo mnahitaji wachezaji wengine wengi wa backup
 
Ndetichia mwaka wako huu...
Hapa Azam...
Kule Juve...
Pale Man City...
 
hakuna shabiki wa liverpool ambaye haipendi Liverpool..

Kama Kocha kachemsha lazima tuseme ukweli, kuwa kwenye hii gane ya leo BR ndo ametuua, Aliconstrate sana na kufunga, which ni kitu kizuri. lakini je kama umeshafunga magoal matatu, unafanya kitu gani kuyazuia, kwasababu wachezaji ndani wanacheza kulingana maelekezo ya kocha wao!!!

Goal 3 zinarudi ndani ya dk 9, afu unaniambia kocha hawez kulaumiwa kwa hilo???

we na mimi ni mashabiki wa Liverpool, Tunajua kwamba Partnership ya Skritel na Sakho haaijaleta clean sheet yoyote so far!!, kwa sababu tu haiwezi kudeal na presha ya mashambulizi, kwani wote wanatumia nguvu na Sakho hana exprience ya EPL, hasa kwenye game zenye presha kama hizi!!!

Centre-Backs, siku zote lazima kuwe na mmoja anaetumiwa nguvu kuzuia na mwingine anayetumia Akili kuzuia, ili kubalance ile pressure ya mashambulizi ndo maana man city kuna Kompany (nguvu), Demichelis, natastic (akili), na nadra sana kuona partnership ya Kompany na lescot pale City coz wote wanatumia nguvu, Arsenal kuna Koshienly (nguvu) na Per metasackar (akili)..ndo maana sahiv huoni partenership ya Konshienly na Vermalen, kwasababu beki anayecheza kwa akili na utulivu anaweza kutuliza mipira na kupoza pressure za mashambulizi..

Ukiongelea kuhusu central mids kupwaya nitakupinga..coz nakumbuka when Gerrard was injured, Partnership ya Lucas na Allen, Katikati, na patnership ya Agger na Skirtel, zilitoa Cleen sheet mbili, Katika game nne, na iliruhusu goal 2 tu..

Sometimes manager anatakiwa kuswitch kulingana na aina ya mchezo, kwa mfano leo, sikuona umuhimu wa Gerrard kuendelea kucheza katika Defensive role ile..
. mkuu Rogers akili zake Kama Wenger anatizama kucheza mpira kuliko kukabisha anahitaji fundi msaidizi wakufundisha Hilo kwa msaada Mie simlalamikii Rogers ni Manager Mzuri anaonekana na kaitengeneza timu vizuri wachezaji ndio wenyewe nao wakufikiria so Captain naye sababu kawekwa kwenye ile sehemu nitakwambia kwanini, 1. SG anawekwa pale sababu Hana Speed tena na Hana uzungukaji tena Hana Nguvu atulie acheze Middle zengine ndio ziangaike so SG Ana nusu ya lawama yeye alikuwa a wapange Middle wenzake timu imefanya vizuri SG kuchezeshwa pale angekuwa yeye ndio Anazunguka kila siku tungefungwa watu wangetaka kumpa mpira yeye tu SG so Rogers nampa heshima kumuweka SG ile nafasi SG ndio wakulalamikiwa hajamuamsha Lucas Huyu Lucas ni Lazy kwa umri wake tizama Handerson anavyohangaika hata joey Allen hafai ila bora yake kuliko Lucas ndomana nikasema Middle zenye Nguvu Muhimu sio skill tu na nafurahia watu wanaona ukweli lawama za nani hakuwepo nani ameumia hakuna ndio football wote wanasajiliwa kucheza football Mie napenda middle. arsenal Arteta anakatakata na mashuti nje Carzola anakatakata mashuti nje anapiga City Fenarndinho na Yaya toure wanafanya Hivyo Chelsea Ramires na wenzake wanakatakata na mashuti nje SG hawezi kufanya tena hayo ila anatakiwa kumsukuma Lucas awe Kama Handerson na watu wakufyeka kati ndio wanafanya mabeki waonekane bora inakuwa ngumu kufika mabeki, Arsenal walijifunza kwenye Hilo wamebakisha kujifunza kwenye Striker timu moja tu ilikuwa na kila kitu Chelsea kipa mpaka mabeki na Middle japo wanajifanya striker Hawana wanao ndio wamefanya utumbo, Rogers tu simlalamikii hata chembe bila Huyo tungekuwa na Carroll na Downing na SG ndio angekuwa mbovu Kabisa angezunguka uwanja mzima nusu ya game angeumia Rogers kayaona zamani mipira ingepigwa juu tu kwa Carroll na zsuarez angefunga goli 8 tu kwa Cross zilizokuwa hazina akiili. Watu wengi Arsenal Wanachoshwa na Wenger ila mabeki kajirekebisha so Rogers atajirekebisha muda wa Middle Wenye Nguvu ili SG a toke bench Lucas ndio sitaki kumuona.
 
hata wewe ? Haya mkuu.

Nawasikitikia, sio kuwacheka. Nilitaka mlibebe kama tungeshindwa. Nashangaa hawa Man Utd wanashangilia mahasimu wao City, nadhani ni jinsi wanavyoogopa kijirekodi (20 trophies) chao cha kununua kilikuwa kinakaribia kufikiwa na Wanajua itawachukuwa City muda mrefu kuwafikia Aston Villa kwa kuchukuwa Ligi kuu ya England (EPL)

[h=2][/h][TABLE="class: wikitable sortable jquery-tablesorter"]
[TR]
[TH="class: unsortable"][/TH]
[TH="class: headerSort"]Club[/TH]
[TH="class: headerSort"]League[/TH]
[TH="class: headerSort"]FAC[/TH]
[TH="class: headerSort"]LC[/TH]
[TH="class: headerSort"]FM/
ESC[/TH]
[TH="class: headerSort"]CS[/TH]
[TH="class: headerSort"]EC/CL[/TH]
[TH="class: headerSort"]EL/
UCWC[/TH]
[TH="class: headerSort"]USC[/TH]
[TH="class: headerSort"]IC/
FCWC[/TH]
[TH="class: headerSort"]Total[/TH]
[TH="class: headerSort"]Last trophy[/TH]
[TH="class: unsortable"]Notes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD="align: left"]Manchester United[/TD]
[TD]20[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]20[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]62[/TD]
[TD]2014 CS[/TD]
[TD][SUP][19][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD="align: left"]Liverpool[/TD]
[TD]18[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]15[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]60[/TD]
[TD]2012 LC[/TD]
[TD][SUP][20][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD="align: left"]Arsenal[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]39[/TD]
[TD]2005 FAC[/TD]
[TD][SUP][21][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD="align: left"]Chelsea[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]26[/TD]
[TD]2013 EL[/TD]
[TD][SUP][22][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD="align: left"]Everton[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]24[/TD]
[TD]1995 FAC[/TD]
[TD][SUP][23][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Tottenham Hotspur[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]24[/TD]
[TD]2008 LC[/TD]
[TD][SUP][24][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD="align: left"]Aston Villa[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]7[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]23[/TD]
[TD]1996 LC[/TD]
[TD][SUP][25][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD="align: left"]Manchester City[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]16[/TD]
[TD]2014 LC[/TD]
[TD][SUP][26][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD="align: left"]Newcastle United[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]1969 FC[/TD]
[TD][SUP][27][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Nottingham Forest[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]1990 LC[/TD]
[TD][SUP][28][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Wolverhampton Wanderers[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]13[/TD]
[TD]1980 LC[/TD]
[TD][SUP][29][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD="align: left"]Blackburn Rovers[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]2002 LC[/TD]
[TD][SUP][30][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13[/TD]
[TD="align: left"]Leeds United A.F.C.[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]1992 CS[/TD]
[TD][SUP][31][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Sheffield Wednesday[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]1991 LC[/TD]
[TD][SUP][33][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Sunderland[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]1973 FAC[/TD]
[TD][SUP][34][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]West Bromwich Albion[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]9[/TD]
[TD]1968 FAC[/TD]
[TD][SUP][35][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17[/TD]
[TD="align: left"]West Ham United[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]6[/TD]
[TD]1980 FAC[/TD]
[TD][SUP][36][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18[/TD]
[TD="align: left"]Bolton Wanderers[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]1958 FAC[/TD]
[TD][SUP][37][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Burnley[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]1960 League[/TD]
[TD][SUP][38][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Huddersfield Town[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]1926 League[/TD]
[TD][SUP][39][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Portsmouth[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]2008 FAC[/TD]
[TD][SUP][40][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Sheffield United[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]1925 FAC[/TD]
[TD][SUP][41][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Wanderers[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]1878 FAC[/TD]
[TD][SUP][42][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]24[/TD]
[TD="align: left"]Derby County[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]1975 League[/TD]
[TD][SUP][43][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Preston North End[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]1938 FAC[/TD]
[TD][SUP][44][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]26[/TD]
[TD="align: left"]Ipswich Town[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]1981 UC[/TD]
[TD][SUP][45][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Leicester City[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]3[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]2000 LC[/TD]
[TD][SUP][46][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]28[/TD]
[TD="align: left"]Birmingham City[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]2011 LC[/TD]
[TD][SUP][47][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Bury[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]1903 FAC[/TD]
[TD][SUP][48][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Cardiff City[SUP][49][/SUP][/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]1927 FAC[/TD]
[TD][SUP][50][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Norwich City[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1985 LC[/TD]
[TD][SUP][51][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Old Etonians[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]2[/TD]
[TD]1882 FAC[/TD]
[TD][SUP][52][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]33[/TD]
[TD="align: left"]Barnsley[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1912 FAC[/TD]
[TD][SUP][53][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Blackburn Olympic[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1883 FAC[/TD]
[TD][SUP][54][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Blackpool[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1953 FAC[/TD]
[TD][SUP][55][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Bradford City[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1911 FAC[/TD]
[TD][SUP][56][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Charlton Athletic[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1947 FAC[/TD]
[TD][SUP][57][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Clapham Rovers[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1880 FAC[/TD]
[TD][SUP][58][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Coventry City[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1987 FAC[/TD]
[TD][SUP][59][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Crystal Palace[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1991 FM[/TD]
[TD][SUP][60][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Fulham[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]2002 ITC[/TD]
[TD][SUP][61][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Luton Town[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1988 LC[/TD]
[TD][SUP][62][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Middlesbrough[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]2004 LC[/TD]
[TD][SUP][63][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Notts County[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1894 FAC[/TD]
[TD][SUP][64][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Old Carthusians[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD][/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1881 FAC[/TD]
[TD][SUP][65][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Oxford United[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1986 LC[/TD]
[TD][SUP][66][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Oxford University[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1874 FAC[/TD]
[TD][SUP][67][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Queens Park Rangers[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1967 LC[/TD]
[TD][SUP][68][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Reading[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1988 FM[/TD]
[TD][SUP][69][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Royal Engineers[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1875 FAC[/TD]
[TD][SUP][70][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Southampton[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1976 FAC[/TD]
[TD][SUP][71][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Stoke City[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1972 LC[/TD]
[TD][SUP][72][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Swansea City[SUP][73][/SUP][/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]2013 LC[/TD]
[TD][SUP][74][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Swindon Town[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1969 LC[/TD]
[TD][SUP][75][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Wigan Athletic[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]2013 FAC[/TD]
[TD][SUP][76][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]=[/TD]
[TD="align: left"]Wimbledon[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]1988 FAC[/TD]
[TD][SUP][77]





[/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
. mkuu Rogers akili zake Kama Wenger anatizama kucheza mpira kuliko kukabisha anahitaji fundi msaidizi wakufundisha Hilo kwa msaada Mie simlalamikii Rogers ni Manager Mzuri anaonekana na kaitengeneza timu vizuri wachezaji ndio wenyewe nao wakufikiria so Captain naye sababu kawekwa kwenye ile sehemu nitakwambia kwanini, 1. SG anawekwa pale sababu Hana Speed tena na Hana uzungukaji tena Hana Nguvu atulie acheze Middle zengine ndio ziangaike so SG Ana nusu ya lawama yeye alikuwa a wapange Middle wenzake timu imefanya vizuri SG kuchezeshwa pale angekuwa yeye ndio Anazunguka kila siku tungefungwa watu wangetaka kumpa mpira yeye tu SG so Rogers nampa heshima kumuweka SG ile nafasi SG ndio wakulalamikiwa hajamuamsha Lucas Huyu Lucas ni Lazy kwa umri wake tizama Handerson anavyohangaika hata joey Allen hafai ila bora yake kuliko Lucas ndomana nikasema Middle zenye Nguvu Muhimu sio skill tu na nafurahia watu wanaona ukweli lawama za nani hakuwepo nani ameumia hakuna ndio football wote wanasajiliwa kucheza football Mie napenda middle. arsenal Arteta anakatakata na mashuti nje Carzola anakatakata mashuti nje anapiga City Fenarndinho na Yaya toure wanafanya Hivyo Chelsea Ramires na wenzake wanakatakata na mashuti nje SG hawezi kufanya tena hayo ila anatakiwa kumsukuma Lucas awe Kama Handerson na watu wakufyeka kati ndio wanafanya mabeki waonekane bora inakuwa ngumu kufika mabeki, Arsenal walijifunza kwenye Hilo wamebakisha kujifunza kwenye Striker timu moja tu ilikuwa na kila kitu Chelsea kipa mpaka mabeki na Middle japo wanajifanya striker Hawana wanao ndio wamefanya utumbo, Rogers tu simlalamikii hata chembe bila Huyo tungekuwa na Carroll na Downing na SG ndio angekuwa mbovu Kabisa angezunguka uwanja mzima nusu ya game angeumia Rogers kayaona zamani mipira ingepigwa juu tu kwa Carroll na zsuarez angefunga goli 8 tu kwa Cross zilizokuwa hazina akiili. Watu wengi Arsenal Wanachoshwa na Wenger ila mabeki kajirekebisha so Rogers atajirekebisha muda wa Middle Wenye Nguvu ili SG a toke bench Lucas ndio sitaki kumuona.

Mkuu Pazi, kama unataka Gerrard atokee bench msimu ujao, basi utasubiri saaaana!!!, Ninavyodhani mimi ni kwamba SG amewekwa kwenye middle pale kwa ajili ya penetration passes zile na syo kwamba Kaepushwa na kuzunguka sana uwanjani, BR anatumia mfumo wa 4-3-3 au sometimes diamond formation ya 4-4-2, hizi formation hazihitaji middle ya kukaba sana kama Ramirez au xabi alonso..coz mifumo hii inaendana na Tik-taka formation, ndo maana Barca pale middle ya chini ni sergio Busquet, na siyo Mascherano, hii ni kwa sababu ya zile penetration passes na kuufungua uwanja na kusambaza mipira kulingana na mfumo husika, Hata Bayern Munuch ya sahv ukiingalia, utaona guardiola anawatumia zaidi kina Alcantara, mtu kama Martnez ambaye ni natural namba 6, hatumiki sana pale Bayern, Na ndo maana Unaona mtu kama Luis Gustavo aliondoka Bayern coz mfuma wa pale haumuhitaji mtu kama yeye..

kwa mfumo anao utengeza BR, anamuhitaji mtu kama Gerrard katika defensive role katika kusambaza zile penetration passes, Ndo maana Henderson anakaba na kuziba zaidi nafasi za maadui kuliko Gerrard!!..asa kwa mfumo huu, Lucas hauwezi, hawez kupiga pass kama za Gerrard, ndo maana katolewa kwenye ile middle ya chini, na lucas siyo mzuri kabisa kwenye number zingine!!!

So kwa game kama ya leo, ilikuwa ni simple sana, Unaongoza 3-0, mtoe Gerrard hapo katikati apande juu, chini mweke Lucas awakabie kwa sababu ndo anachokijua hicho!!

BR ni kama Wenger tu, Game ambazo anahitajika Flamini anamuanzisha Arteta, na Game amabazo anahitajika Arteta anamuanzisha Flamini..

Alitakiwa amrudishe Lucas chini, ili kuicover beki mbovu ya liverpool!!, Misimu miwili iliyopita Patnership ya Callagher na Agger au skirtel ilikuwa nzuri sana, kwa sababu Callagher alikuwa na uwezo wa kuipanga na Kuikalipia back four yote pale inapokosea, now Agger ni vice captain, ana uwezo wa kuipanga beki yake na kumkalipia back four yote ikijisahau, kwa sababu ni exprienced na huwa anacheza kwa kurelax, asa back four ya skritel, sakho, GJ na Flanno, nani atamsema au kumpanga mwenzake??..au kumkalipia mwenzake???

BR hawezi kuepuka lawama kwa hik game ya leo..ni kama kwenye ile game ya Aston villa tulipotoka sare ya 2-2 pale Anfield!!!

Hawezi kukwepa lawama.
 
Beki yenu yote ni mbovu (Toure,Flanagan,Agger,Skirtel,Johnson) Caragher angekuwepo angewasaidia sana strength yenu ni foward,baada ya Henderson kufungiwa timu yenu imepwaya sana kwenye kiungo.Nilishasema bado mna kikosi kidogo mnahitaji wachezaji wengine wengi wa backup
Huyo Carra katika mabeki nilikuwa siwapendi na alivyostahafu basi hao uliowataja nakubaliana na wewe ila bado Mie naamini timu ukiwa na Middle katikati ya uwanja Kama Yaya Toure wanaojuwa kuweka ubavu na mtu kulala na mtu na mwengine kuvunjika play za watu Kama Handerson alivyokuwa anafanya then hapo Mbele ayo kukawa na Middle attack anayefunga magoli Kama anavyofanya Ramsey au Lallana Huyu Ramsey na Lalana nimewataja nyuma kuwe na Kama Yaya Toure na Fernandinho inamfanya mabeki wasionekane wabovu asilimia kubwa EPL timu zimeshinda sababu katikati ya uwanja kunakuwa Strong ile sana sana unabadilisha jembe linking ila jembe hata Kama nyuma kubovu wale ndio wnasaidia LFC ilikuwa inakila la Kuwa bingwa EPL winger strikers ndio UNited ilivyokuwa ndio Arsenal ilivyokuwa ndio City mwaka alioshinda wingers silva kina Milner na Middle beki wao alikuwa Mzuri ni Kompany tu na zabaleta United peke yake mwaka Jana tungeweka hawakuwa na Middle wao sana ilikuwa mabeki, winger Valencia anatoka mbio na evra anapanda Ahley young anakimbiza pembeni cross Van na Rooney magoli ila kumbuka Carrick alikuwa anakaa sehemu Kama SG anacheza nyuma na Phil Jones alikuwa anapiga buti ambaye safari hii kaumia Buti za Phil Jones kati zimesaidia na kushuka kwa Rooney Middle naye analala na mtu Sasa Yaya Toure Hana haja kulala na mtu anakuwa kea mwili anapasua mbio yuleeee ukiweka mwili wako umeumia Fenandinho Anarudi kwa nyuma inamfanya wale middle skillfull Wana relax Hawana haja yakukaba wachoke Nasri na silva Wana Relax na Sikwamba City walikuwa na mabeki wazuri huu msimu ni Middle zao zinasaidia mabeki wapumuwe wasifikiwe ovyo, Lucas anafanya masikini ya mungu Raheem achoke na Joey Alen achoke kwa kumfanyia kazi Lucas wakati SG kashakuwa kiraka sababu ya watu Kama Lucas na Aleyn hawaaminiki ndio bench hakai anachezeshwa wewe unafiki fi Manchester United wanapata tabu sababu Moyes? Ni katikati ya uwanja zile buti zimepungua kabaki Carrick tu na winger hazikimbizi ila hasa Middle ndio beki zinafikiwa ovyo. Bakharesa aje kumchukua tu Lucas.
 
wadau tusilalamike sana,ligi imeshaisha hii,tusubiri tuone huyu BR atafanya usajili gani! Huu muda ndo manager experienced kama Rafa anahitajika! Anyway,it's over now...maisha lazima yaendelee! Watu walisubiri 50 yrs kuchukua epl,na ndo kwanza wanayo ma4,sisi ndo bado tupo mwaka wa 24 na tunayo 18 shida ipo wapi?
 
Hahaaa mbona mnaandika ma thread marefu sanaaaa.fupisheni bana nyie vipi...timu hamna pale basi tu mnajikamua kamua....nilisema tatizo lenu mlishajiona mabingwa
 
The season inaisha na leo ndo msumali kuwa hatuwezi tena shinda league, tumejitahidi na defence yetu imetuangusha bila kusahau that incredible bad luck by Gerrard zidi ya Chelsea. Inauma eeh kuliko hata ile kampeni ya 2008/09 lakini ukiangalia unaona kuwa tuna kikosi kizuri na manager mzuri lakini ambaye hana experience ya kutosha kama leo alivyomleta Moses badala ya Agger ilivyokuwa 3-2.

But nikiangalia nilichotaka mwezi wa nane msimu ulivyoanza, nilitaka champions league na tumeipata. Tumeweza kwenda toe to toe with oil billionaire clubs. Its something to be proud of.

The disappointment is huge but a reality check here, tume perform kuliko expectations..Rodgers atakua na experience mwaka kesho. Tutajifunza kutoka kwa makosa yetu.
 
Hahaaa mbona mnaandika ma thread marefu sanaaaa.fupisheni bana nyie vipi...timu hamna pale basi tu mnajikamua kamua....nilisema tatizo lenu mlishajiona mabingwa

Mkuu nikubaliane na wewe tu kwamba Liver hatuna back! Strikers wanafunga back zinafungisha?!! Nini hiki jamani? Kocha wetu naye bado hajui kufanya sub bwana, ndo maana timu SH inakufa kabisa! Unapowatoa forward ambao walikuwa bado wanachachafya unawapa nafasi wapinzani ambao walikuwa wamelazimika kupark bus waanze kupumua na kwenda kushambulia kwa nguvu! Nafikri tumeona mara tu walivyotoka Sterling na Sturridge mambo yalitugeuka! Halafu shida ingine iko kwa GJ anapopanda anaenda kusinzia huko huko na hakumbuki kurudi haraka kwenye majukumu yake! Basi bwana, kombe ndo tumelikosa hivyo!
 
yani jana tumedhihirisha hatukuwa na mpango wa ubingwa msimu huu,BR anawalaumu mabeki! Inexperince yake ndo imetucost wala sio mchezaji
 
YNWA= You'll Never Wruined it Alone Steve Gerrard and Glen Johnson will be there to give you a hand. LOL
 
yani jana tumedhihirisha hatukuwa na mpango wa ubingwa msimu huu,BR anawalaumu mabeki! Inexperince yake ndo imetucost wala sio mchezaji

Inexperience kivipi? Liverpool mlitakiwa mlibebe, inasikitisha kuruhusu kombe liwaporonyoke katika mechi tatu. Nawasikitikia kuliko navyosikitikia Arsenal yangu.
 
Inexperience kivipi? Liverpool mlitakiwa mlibebe, inasikitisha kuruhusu kombe liwaporonyoke katika mechi tatu. Nawasikitikia kuliko navyosikitikia Arsenal yangu.

Mkuu,hata tukiongea ni kazi bure tu! We can't change anything,ila experienced manager hawez kufanya sub kama zile
 
Mkuu rubaman..sisi united tunaisapoti city sbb kimsingi ukiondoa ile hali arch rivals hakuna kingine ambacho utaifananisha united na city... Sisi wapinzani wetu ni Liverpool toka enzi na enzi kwahyo adui muombee njaa.hivi sasa tunafaiti tuifikie record yenu ya uefa titles basi. Kwa msimu sisi katuangusha sana Moyes and better he has gone
 
Hahahaha Ntuzu, kwa hiyo wewe Chelsea ikifungwa unahama team au???



Sasa kwanini mtu UJUTE? UMELAZIMISHWA KUSHABIKIA LI TIMU BOVU LENYE MABEKI WABOVU NA KOCHA MBOVU?

TIMU INAONGOZA GOLI 3 BILA. ALAFU ZINARUDI ZOTE?!!!! KHE KHE KHE KHE KHE!

Mtalalamika Na Hapa CP walipaki Bus!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nimerogwa?

The magnificent pole sana mkuu..tatizo ni over confidence ambayo LFC players walijijengea mpaka kwa fans wao kuwa wao ni the expected champion for 2013-2014 season. Swali...je mtaweza kurudi na hii form mliyokuwa nayo mwakani without Suarez? Because the guy is going this coming summer
 
Back
Top Bottom