Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nitajuaje kama umeuliza seriously?

'man-management' ni jinsi kocha anavyoweza kuishi na mchezaji vizuri, kutambua uwezo wa mchezaji na kumtumia kwa manufaa ya timu nzima.

soma 'maneno' ya GJ si nimepost hapa tayari?
Poleni sana ...najua bado mmekasirika.:A S cry:
unajua nimekuuliza seriously kwa kuwa sijui na ningependa kufahamu! Tatizo kila jambo unalifanya kishabiki tu,anyway anayejua maana ya hii kitu,'man management' anielimishe tafadhali.
 
Nafurahi kuona kumbe ulinielewa na umekiri Kua media KWELI zinaichukia Chelsea!
mbona hujaona kwamba zinampenda Morinho na wapo wanaipenda Chelsea sababu ya kina Lampard kina Terry unafikiri why Abromovich alijiwa juu na Benitez wakati Lampard anataka kuuzwa Media haina love sana na Chelsea as Club ila Morinho ndio wao Media natoa unazi zinaipenda Man United na LFC na Totenham sababu wanaziona kama Pure British team hilo ndio tatizo la Media kumbuka LFC ilikuwa inachukiwa sana Benitez alivyokuwa nayo ndio sasa hivi wanaisakama Arsenal, Chelsea inasakamwa ila sio sana sababu wanao watu wao mule wanawapenda na Morinho ila Abromovich ndio wanaomchukia kuhusu Media tushazizoea za Britain ndomana timu yao ya taifa inakuwa vigumu kufanya vizuri. Wanachambua vitu kama sie hapa tunavyobishana.
Ndomana leo Arsenal utasikia baazi ya Media kidogo Arsenal wanahitaji Dean arudi au mtu kama Tony Adam akifanya vizuri Welshire ndio team best ndio LFC akiondoka SG utaona watavyochukiwa Chelsea kidogo Terry au Lampard.
 
ile Patnership ya SC na KD ilikuwa ni noma, japokuwa we didnt perfome well, lakin tuliconsd goal chache sana!!

Tunahitaji mtu kama Steve Clark pale!!
Umenikumbusha Daglish alikuwa anachezesha 3 CB kwenye mechi moja (Caragher,Agger,Skirtel) kwa defence alikuwa mzuri sana
 
you must be concerd..kama alivyosema EMT, tatizo ni kwamba LFC players walizubaisha na MEDIA ya UK..

walipaswa kutulia na kufanya kazi ya kuzuia magoli yao tu jana.. mambo yangekuwa sawa...who knows kesho Villa vs City?

Kama kuna siku nimecheka jana. Katika mabishano kabla ya mechi nikasema hii mechi itaishia sare ya 3-3 lakini washabiki wa Liverpool wakanicheka sana. Kama kawaida mambo ya kubet vijana wakaweka mzigo mkubwa kwa ushindi mnono. HT maneno kibao ila nikawaambia tatizo kubwa la liverpool msimu huu ni uwezo mdogo wa kulinda magoli. Nadhani kilichotokea second half hawana hamu kabisa.sare ya 3-3 odds zake zilikuwa nzuri sana £66/1, fikiria uliweka £10 tu unaondoka na £670 zisizo na jasho. Mechi ya mwisho liverpool wasitarajie mteremko na hili ni angalizo kwa man city mechi ya jumatano na ile ya mwisho.

angalia pia yaliyowakuta atletico madrid weekend maana ushindi kwao kombe lilikuwa kibindoni.
 
Umenikumbusha Daglish alikuwa anachezesha 3 CB kwenye mechi moja (Caragher,Agger,Skirtel) kwa defence alikuwa mzuri sana
Ila mbele ilikuwa mbovu Carrol n Downing alafu alikuwa anafanya yale ambayo wengi wakicheza na SG azunguke zunguke SG na kila mtu ampe pasi SG au kila Mtu Cross kwa Carroll ndio kosa la Kenny Daglish hakuwa manager mbaya ila alikaa nje kwa muda mwingi kwenye Game kuelewa game imebadilika ndomana nikasema Rogers ajifunze baazi ya vitu kwa timu zengine pia Middle zenye nguvu kama City,Chelsea n United ilivyokuwa zaamani nyuma arekebishe tu uchezaji wa fikra kama Arsene alivyofanya na mabeki wa Arsenal huu mwaka. LFC imefanya Style ya United katika kukimbiza wingers na strikers ila mabeki ni kweli wabovu mie naona pia Middle zinazidisha beki kuzidi kuwa mbovu Belo au ww una maoni gani kama mtizamaji mpira.
 
Baba Kelvin tupia updates Mbona umepotea?

Mkuu simu ilikata moto ila niliona vile BR alivokuwa anadundisha kitenesi kwenye tundu la choo. Ngoja tuone usajili ujao watampangia bajeti kiasi gani kwa kweli chozi la Suarez limeninyima ucngzi ucku wa leo!!
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna siku nimecheka jana. Katika mabishano kabla ya mechi nikasema hii mechi itaishia sare ya 3-3 lakini washabiki wa Liverpool wakanicheka sana. Kama kawaida mambo ya kubet vijana wakaweka mzigo mkubwa kwa ushindi mnono. HT maneno kibao ila nikawaambia tatizo kubwa la liverpool msimu huu ni uwezo mdogo wa kulinda magoli. Nadhani kilichotokea second half hawana hamu kabisa.sare ya 3-3 odds zake zilikuwa nzuri sana £66/1, fikiria uliweka £10 tu unaondoka na £670 zisizo na jasho. Mechi ya mwisho liverpool wasitarajie mteremko na hili ni angalizo kwa man city mechi ya jumatano na ile ya mwisho.

angalia pia yaliyowakuta atletico madrid weekend maana ushindi kwao kombe lilikuwa kibindoni.

Sehemu zengine ilikuwa 100-1 mkuu kuwa 3-3 wapo watu wanajaribu. City hawawezi kufanya kosa sahau ndio football chochote kinatokea ila City msome Nasri ndio utajua tayari wamebeba sema kama maajabu yakitokea ujue hata Chelsea nao wamo so Odds zinasemaje? Real Madrid naye yupo katika akishinda zote Barca akimfunga ATM, Real Madrid anakuwa bingwa.
 
Ila mbele ilikuwa mbovu Carrol n Downing alafu alikuwa anafanya yale ambayo wengi wakicheza na SG azunguke zunguke SG na kila mtu ampe pasi SG au kila Mtu Cross kwa Carroll ndio kosa la Kenny Daglish hakuwa manager mbaya ila alikaa nje kwa muda mwingi kwenye Game kuelewa game imebadilika ndomana nikasema Rogers ajifunze baazi ya vitu kwa timu zengine pia Middle zenye nguvu kama City,Chelsea n United ilivyokuwa zaamani nyuma arekebishe tu uchezaji wa fikra kama Arsene alivyofanya na mabeki wa Arsenal huu mwaka. LFC imefanya Style ya United katika kukimbiza wingers na strikers ila mabeki ni kweli wabovu mie naona pia Middle zinazidisha beki kuzidi kuwa mbovu Belo au ww una maoni gani kama mtizamaji mpira.
KD alikuwa mzuri sana kwenye defence alitakiwa apate msaidizi mzuri kwenye attaking kama BR,ingawa KD najua hawezi kukubali now but KD angewasaidia kama angekuwa msaidizi wa BR,nakumbuka Man United Carlos Quirez alimsaidia sana Ferguson kutengeneza defence.Defence yenu ni mbovu sana BR anapaswa kulifanya kazi sana hilo next season.
 
Mkuu simu ilikata moto ila niliona vile BR alivokuwa anadundisha kitenesi kwenye tundu la choo. Ngoja tuone usajili ujao watampangia bajeti kiasi gani kwa kweli chozi la Suarez limeninyima ucngzi ucku wa leo!!

Dah! Kama mimi ndugu yangu! Najaribu kujiuliza jamaa kwanini alilia kwa uchungu vile
 
Na mimi nilimbandua yeye kwangu na kwake.
Nimekubandua na wewe 6-0.
unalo la kusema tena?:smile-big:

teh teh teh teh teh wewe short temper naona leo unazagaa kweli humu ndani.
BTW usiwe unakimbilia mafichoni ndugu.
 
teh teh teh teh teh wewe short temper naona leo unazagaa kweli humu ndani.
BTW usiwe unakimbilia mafichoni ndugu.

huwa sikimbii mie..ila huwa nikishafanya mashambulizi ya nguvu..narudi kukaba si unajua sisi asili yetu ni kukaba mwanzo mwisho?

sichanganyikiwi kama avatar yako.. mie mahesabu nayajua.
CFC 6- 0 ARSENAL.
CFC 2- 0 LFC.
CFC 3- 1 MAN UTD
CFC 2 - 1 MAN CITY.
CFC 4 - 0 SPURS.

tunachukua pointi zenu...tunawapa maskini.
 
Last edited by a moderator:
10247329_744230835635834_7188393227472350929_n.jpg
 
EMT LEGEND:smile-big:

EMT is not a legend and never will. EMT is just one of those people who Mourinho criticised as having "fantastic theories and philosophies" in football.
 
A revised song of Peter Tosh - Crystal Ball being played after Crystal Palace punishing Liverpool with some crystal balls.

Lookin' at your crystal ball Red man
I say Lookin' in your crystal ball Red man
What do you see Red man
Tell me what do you see Red man

I see victims in Red at Crystal Palace.
Conceding three goals in eight minutes.
Gas shortage in defenders
And the Red colour devalue

In the city of Liverpool
In a you shitty
In the city of Liverpool
In a the shitty

Come on Reds lookin' at your crystal ball
Come on Red lookin' at your crystal ball
What do you see Red man
Tell What do you see Red man

I see them on the pitic locked down
Anfield closed down
Still the English media promising
Supporters striking

In the City of Liverpool
In a you shitty
In the City of Liverpool
In a the shitty

Come on come on Red lookin' at your crystal ball
I say lookin' at your crystal ball
Tell me tell me what do you see Red man
Tell me what do you see Red man

I see Suarez crying
Gerrad slipping over.
Brendan Rodgers burning
Got crying

In a the shitty
In a the shitty
In the City of Liverpool
It is in shitty

Lookin' at you crystal ball Red
I say lookin' at you crystal ball Red man
What do you see Red man
Tell me what what do you see Red man

I see truth revealing
Red cleansing
Downpresser chasing Man City
Red seeing

In a the shitty...

I say lookin' at you crystal ball Red man
Keep on lookin' at you crystal ball Red man
Let us have a view on the inside
We see too much of the outside

Give me a glimpse in a you crystal ball Red man
Make me see what a gwan Red man
Long time we blind
So so blind
 
Alijisikia uchungu sana wamepigana kama timu hadi dk ya 78 wanaongoza 3 kavu then dk 9 zinakuja kuvuruga matumaini ya title, kwa vyovyote vile u must break floods of tears.

Pole sn Mkuu!
 
'Defensively they're not up to being Premier League champions,' he said on Sky Sports.

'Sakho makes you nervous. They always concede together. It's not good enough.

'That final 20 minutes was unacceptable. They concede too many goals.

'The back four and defensive side of this team have shown they can't cope with pressure. They're not leaders. - Maneno ya J.Carragher #23.
A revised song of Peter Tosh - Crystal Ball being played after Crystal Palace punishing Liverpool with some crystal balls.

Lookin' at your crystal ball Red man
I say Lookin' in your crystal ball Red man
What do you see Red man
Tell me what do you see Red man

I see victims in Red at Crystal Palace.
Conceding three goals in eight minutes.
Gas shortage in defenders
And the Red colour devalue

In the city of Liverpool
In a you shitty
In the city of Liverpool
In a the shitty

Come on Reds lookin' at your crystal ball
Come on Red lookin' at your crystal ball
What do you see Red man
Tell What do you see Red man

I see them on the pitic locked down
Anfield closed down
Still the English media promising
Supporters striking

In the City of Liverpool
In a you shitty
In the City of Liverpool
In a the shitty

Come on come on Red lookin' at your crystal ball
I say lookin' at your crystal ball
Tell me tell me what do you see Red man
Tell me what do you see Red man

I see Suarez crying
Gerrad slipping over.
Brendan Rodgers burning
Got crying

In a the shitty
In a the shitty
In the City of Liverpool
It is in shitty

Lookin' at you crystal ball Red
I say lookin' at you crystal ball Red man
What do you see Red man
Tell me what what do you see Red man

I see truth revealing
Red cleansing
Downpresser chasing Man City
Red seeing

In a the shitty...

I say lookin' at you crystal ball Red man
Keep on lookin' at you crystal ball Red man
Let us have a view on the inside
We see too much of the outside

Give me a glimpse in a you crystal ball Red man
Make me see what a gwan Red man
Long time we blind
So so blind
 
Haya sasa baada ya jana kubolonga na kudondosha tonge wenyeweeeeeeeeee..

Dua zenu hazitamfikia mwewe.

Eti suarez analia!!!! Alijua atamaliza msimu na trebble trophies??!!!
 
Back
Top Bottom