Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

So far uchezaji wa Shaqiri nimeupenda. Ni mchezaji mzuri, ana nguvu na pace

he had the poorest decision making in the game, bad freekicks, bad crosses, bad passes... labda pace na positioning

He is a frustrating talent to say the least

Lets hope he improves, otherwise ningempa nafasi jordon Ibe na Suso kuliko kumchukua Shaqiri
 
Yule winga dogo mweusi wa Belgium aliingia kama sub nae umemwonaje?
 
he had the poorest decision making in the game, bad freekicks, bad crosses, bad passes... labda pace na positioning

He is a frustrating talent to say the least

Lets hope he improves, otherwise ningempa nafasi jordon Ibe na Suso kuliko kumchukua Shaqiri

i am a huge fan of Shaqiri,nimemfatilia mwaka wa pili sasa! Yule dogo ni superb! Only time will tell,stay tuned
 
i pray for that, but his show kwenye world cup is worth forgetting... some players are good when winning and some are really good when losing certainly shaqiri is NOT good when losing, his head becomes cocohead
 
Naona EPL fixtures zimetoka aisee,yesterday i thought ni tarehe za kuanza tu,kumbe ni mzigo wote! BTW,tunaanzia home na SOTON,then away na MAN CITY
 
blind siimpendi sioni bado Kama mkali Hivyo ila Rodriguez nimetizama baaazi ya Game za Bundesliga kachaguliwa top 5 beki ligi Yao jamaa Mzuri Rojo japo ndio kwanza nimemuona Argentina sina uhakika naye sana ila Yule Swiss Mzuri.

Ricardo rodriguez ni bei yake ni kubwa saaana!!!..kama tu LFC wanavutana na Seville, kuhusu add-ons za Moreno, sidhan kama wataweza kukaa meza moja na Wolfsburg kunegotiate deal ya Ricardo na wakaelewana!!!

Tangu ile transfer comittee iazishwe pale LFC, Hakuna deal yoyote ya Kumnunua mchezaji kwa hela nyingi iliyofanyika!!!..

Kwa Ricardo pale, tusijidanganye..Team yetu haiwez kufanya chochote pale!
 
i pray for that, but his show kwenye world cup is worth forgetting... some players are good when winning and some are really good when losing certainly shaqiri is NOT good when losing, his head becomes cocohead

Shaqiri ni mzuri, Itakuwa ni great addition kwenye squad kama akisajiliwa!!!
 
Attachments

  • 1403089984880.jpg
    1403089984880.jpg
    27.2 KB · Views: 49
ratiba nikigongo nimetizama ya Arsenal nayo ngumu United kidogo wao sio mbaya ila City na Hasa Chelsea wamepwaya Easy run sie Mwanzo wa Ligi mgumu na Katikati ya Ligi ndio inatakiwa Kuwa ngumu timu ishachangamka imekuwa rahisi ila mwishoni ndio tumewekewa balaaaaaa zaidi ila yangu macho na masikio tunapokuwa hai tuone na kusikia. Naitakia timu yangu mafanikio LFC YNWA!
 
Kweli.... ila nauamini sana uwepo wa BR something might happen kama tukienda vizuri kama last round
#vivaYNWA
 
Ricardo rodriguez ni bei yake ni kubwa saaana!!!..kama tu LFC wanavutana na Seville, kuhusu add-ons za Moreno, sidhan kama wataweza kukaa meza moja na Wolfsburg kunegotiate deal ya Ricardo na wakaelewana!!!

Tangu ile transfer comittee iazishwe pale LFC, Hakuna deal yoyote ya Kumnunua mchezaji kwa hela nyingi iliyofanyika!!!..

Kwa Ricardo pale, tusijidanganye..Team yetu haiwez kufanya chochote pale!

mawazo kama yangu haya! Ayre anasema we can't overpay! Ha ha ha ha ha ha! Ayre kama Wenga! Au wana undugu nin
 
Ayre siimpendi Mie ila katika wachache nimefuahi Moreno na Llalana deal linakufa ni Mie japo yanaweza kurudi Lovren,Lazar na Shaqhiri na Rodriguez ndio wakuja na Bonus Wowote ila Henry aliwahi kusema zamani anataka iwe Kama Arsenal Maswala ya malipo na ndomana alimleta Rogers katika mazungumzo akamkubali sababu Henry ni mfanyabishara mwenye ku invest Wenzetu Mrusi na Mwarabu huwezi kuwalaumu wanapesa za kulipa watu zaidi Henry angekuwa nazo angefanya Hivyo Henry hataki makosa yaliotokea kwa Carrol kujirudia hata Raheem sio wakupewa 100,000 sasa hivi ila nafikiri wanataka kumpa kutakuwa uoga wawatu wakija kumtaka Price tag iwe 25-30m.
 
Arsene Wenga ana akili sana yule mzee,kwa club inayoinvest kama LFC inatakiwa iwe kama Arsenal,UCL kila msimu guaranteed
 
Back
Top Bottom