Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu imetiki kabisa maana hii kitu kuna mahali nimesoma ila sina uhakika nayo
Huyo Lallana mbona bei yake kubwa sana...?
25 kweli???
I still don't understand...why Lallana £25 and not sanchez £22?

Labda Sanchez atakuja tukiwauzia Suarez
Tony Barret anasema #LFC wanataka kumsajili Lazar Markovic wa Benfica..
Huyu jamaa sijawahi kumuona akicheza, na sipendi kufatilia Skills zake kwenye youtube..coz huwa wanachukua mambo mazuri tu, au kushine kwake katka match mbili tatu.
so kama kuna mtu ashawahi kumuona, atusaidie kumuelezea..
cc. Pazi the magificent osokonoi Janjaweed Gwamahala Blac kid Ed n Edd nEddy The Boss na mkuu Belo..kama kuna mtu kishamuona jamaa akicheza mara kwa mara, atusaidie hapa tumjue vizuri.
Southampton tungemnunua wanyama...kuliko lalana...
Usisahau premier league hakuizoea..this year utashangaa kiwango chake...nani? Wanyama? You must be joking mkuu! Wanyama hafai kucheza hata sunderland,hana discipline,hana consistency,injury prone! Etc etc.