Liverpool FC yainyuka Manchester City 4-3 na kuvunja mwiko

Atleast solution imepatikana. City ni kuwaatack tu. Ukipark meli kama anavyofanyaga Mourinho, lazima wakudukue. The best way of defence is to attack...
Wakati nikicheki gemu nilitaka sana liver wawakabie juu kwa speed ili wawaforce mabeki wafanye makosa. Ndicho kilichotokea kipindi cha pili. Guardiola ni mwepesi sana ukimshambulia mwanzo mwisho.
 
Sub mbovu ya Milner for Can na lallana for sallah karibu zimgharimu klop.
Nilimshangaa sana.
Can katoa bonge la assist goli la pili, hana card, timu inaongoza 4 kwa 1, hajaumia unaamua kutoa tu.. Klop niliona kachanganyikiwa kabisa.
 
Hongera sana Liverpool. Huo mfupa uliwashinda wengi. Mmepambana mmeuweza.
 
Nilimshangaa sana.
Can katoa bonge la assist goli la pili, hana card, timu inaongoza 4 kwa 1, hajaumia unaamua kutoa tu.. Klop niliona kachanganyikiwa kabisa.
Can alimnyima raha De Bryne, alimkaba kwa nguvu kitu ambacho Milner hawezi. Sub za klop Mara nyingi huwa za kumbeba adui. Alipowatoa sallah na mane aliwapa unafuu beki na viungo wakabaji wa man city na kupelekea Mpira kuganda kwenye lango LA Liverpool.
 
Hahaha mkuu hapa tumefanana.
mimi pia shabiki wa damu wa Liverpool tangu nipo mdogo nasikiliza tu mechi zao BBC swahili radio enzi za mawimbi ya shortwave miaka ya 80's mwishoni tunachukua vikombe.
 
Hawana lolote wamewaotea tu,,, game ya pili atakaa tu,, tena kipigi cha mbwa labda sio man jiji
 

SASA WEWE UNALETA UCHOKOZI HAPA KWETU,
Kiukweli timu zote zikichezea jezi zake za home zinakuwa katika ubora sana, hata man u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…