Liverpool imeiumbua E.P.L , sio ligi ngumu kama tulivyoaminishwa

Mpinzani wa Mpinzani wa LiverpooL ni Manchester City bana!, hyo man united imebaki historia tu.
 
EPL sio ligi bora ndio maana msimu uliopita LA LIGA iliingiza timu nne kwenye fainali za EUROPA na UEFA.
2018/2019 EpL ndo ligi bora kijana!. Facts zipo kila mtu anajua...Zimeingiza timu 5 kwnye UEFA.na Tumeshuhudia fainali za uefA na Ueropa Zikitawala timu za England.Makombe ya ULAYA yamenda England....... Hzo ndo FactS... so Tuliaaa
 
Yaani unaiita Real madrid kiboko ya Barcelona n wametoka kupigwa 5 mwaka jana [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonesha umeanza kufuatilia soka la ulaya miaka ya hivi karibuni, waangalie Juve, PSG na Bayan kwa miaka mitatu mpaka mitano iliyopita utaona walikuwa wakiongoza ligi zao kwa tofauti ya point zaidi ya ishirini.
liver kuongoza kwa tofauti ya point ishirini haimaanishi EPL ni ligi rahisi, kama unaona ni ligi rahisi hao liver walikuwa wapi kwa miaka ishirini kufanya hiki wanacho kifanya leo?
watazame mabingwa wa EPL kwa miaka sita iliyopita walichukuwa ubingwa kwa tofauti ya point ngapi!
kwa uzoefu wangu ktk kufuatilia EPL ninacho kiona msimu huu kwa Liver na wanaomfuata ktk mbio za ubingwa, hakina tofauti na kile kilicho tokea kwa Licester city wakati akichukuwa ubingwa. wapinzani walikuwa wakidondosha point ktk mazingira ambayo hayatarajiwi na wengi. hii ilimfanya Licester kuchukuwa ndoo kirahisi kabisa
 

Only evidence kuwa EPL ni ligi bora

Timu zilizoshinda UEFA by country
Spain=2
England=6


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inshot timu za uingereza zenye uwezo wa kuchukua UEFA ni nyingi kuriko ligi yoyote ile, leo timu kama Man U anaweza shindana na PSG au Bayern ila sio Valencia na Bayern


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wachambuzi wa Kibongo ujuaji mwingi, Angalia ligi yenu sasa ipo ICU.
Hao liver hata wakikutana na akina Med Kahirizi wanakalishwa? Ila hata timu za mabara mengine zimekalishwa na Liver mwaka huu, au ligi zote mwaka huu ni mbovu?
 
2018/2019 EpL ndo ligi bora kijana!. Facts zipo kila mtu anajua...Zimeingiza timu 5 kwnye UEFA.na Tumeshuhudia fainali za uefA na Ueropa Zikitawala timu za England.Makombe ya ULAYA yamenda England....... Hzo ndo FactS... so Tuliaaa
Itoshe kusema una kichwa kigumu sana, umeshindwa kumwelewa uliyemquote
 
EPL ndio ligi bora kwa sasa... Ikifuatiwa na championship..,
Hutaki kanye boga
 
Kwa haya matokeo ya Liver hata turudi miaka 20 nyuma ktk ligi tano bingwa ulaya bado Liver angeongoza kwa points zisizopungua 10 hvyo EPL haiweza kuwa ligi mbovu kisa liver anaongoza kwa gap kubwa maana ktk mechi 25 kashinda 24 kadraw 1 hii haijawai kutokea mkuu kwa misimu ya HV karibu tukiangalia Ligue 1 PSG huwa anaongoza kwa point 20+ akiwa kafungwa na kudraw mechi kadhaa,Bundesliga Bayarn anaongoza akiwa na kapoteza na kudraw michezo kibao the same to Seria A ya Juve

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ukiongea wewe utaeleweka. EPL ni ligi mbovu yenye timu mbovu zinazofanana kiwango. Isipokuwa msimu huu Liverpool iko juu zaidi ya wenzake.
Ukiileta timu yoyote ya ulaya hapo EPL haiwezi kuzifikia hizo points za liver ukweli usemwe ushabiki pembeni@IamManUTD Fan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…