Liverpool imeiumbua E.P.L , sio ligi ngumu kama tulivyoaminishwa

Liverpool imeiumbua E.P.L , sio ligi ngumu kama tulivyoaminishwa

Randy orton

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2019
Posts
1,338
Reaction score
3,561
Kuna hii ngonjera na propaganda ambayo imetawala vichwa vingi vya mashabiki wa mpira kuwa E.P.L ndiyo ligi ngumu zaidi duniani.

Kila siku huwa tunawapa facts huku kuwa England sio ligi ngumu bali timu zake zinakaribiana viwango watu wanakuwa wabishi hata unapowapa facts.

Bahati nzuri huu mwaka Timu ya Liverpool imekuwa katika kiwango bora na cha juu kushinda timu nyingine zote ndio tunaona sasa ukweli kuwa hii ligi huwa sio ngumu bali timu zinafanana viwango.

Tokea umeanza kushabikia mpira wa miguu ni mwaka gani ambao umeona katika Ligi 3 kubwa za ulaya ( La liga, Bundes liga na E.P.L )timu inayoongoza kwa pointi inaipita timu inayofuata kwa zaidi ya pointi 20 !!! Hata kule Serie A ambapo juve anachukua kwa miaka kama 7 mfululizo hili jambo ni nadra kutokea hata kwenye zile farmers leagues .

Je , hii Liverpool ndiyo timu bora kuwahi kutokea ulaya?

Jibu ni Hapana, Timu bora kuwahi kutokea ulaya katika karne ya 21, kwa maoni ya wengi ni ile Barcelona ya Pep Guardiola (2008-2011) ambayo ilisomba makombe yote unayojua ndani ya msimu mmoja, Hii timu na ubora wake wote haikuwahi kuongoza kwa pointi 20+ ...

Mashabiki wengi wa soka wakawa wanatoa kejeli eti Barcelona ile Pep ingepata tabu England, mi nikawa najiuliza kama Liverpool tuu hii ya kina Henderson, Wijnaldum , Milner inawatesa hivi ingekuja Barca ya ile ya kina Xavi na iniesta si isingefungwa kabisa hata misimu 3, maana katika timu hii ya Liverpool inayotesa sahizi ni wachezaji wawili tuu wangeweza kucheza ile Barcelona na wenyewe ni beki kisiki VVD na kipa wao Allison baasi, wengine kama captain wao Henderson hata benchi asingekaa.

Sasa iweje Liverpool ambayo tunaambiwa iko kwenye ligi ngumu zaidi ulaya iongoze kwa pointi 20+ kitu ambacho hata hakitokeagi kwenye ligi ya ureno ?

Mashabiki wa England sijui mtakuja na utetezi gani !!

Yaani tofauti ya pointi kati ya wa 1 na wa 4 ni pointi 32[emoji23][emoji23][emoji23], Halafu unaambiwa hiyo ndiyo ligi ngumu zaidi Duniani

Liverpool imeiumbua E.P.L....aibuuuuu

2020-02-02%2010.09.10.jpeg
Screenshot_2020-02-02-10-12-03.jpeg
2020-02-02%2010.06.44.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka msimu uliopita,hata yanga sc haikuwahi kupoteza mchezo kwa mechi 19 mfululizo. licha ya kikosi ilichokuwa inacho.
 
Unaonekana hufatili mpira hata msimu uliopita Juve & PSG walikuwa wanaongoza kwa points zaidi 23 mpaka walipopewa ubingwa ila Liver cha ajabu kwake ni kuwa timu ya kwanza kwenye ligi kubwa tano ulaya kukusanya pointi nyingi ndani ya michezo 24 na pengine kila mechi atayozidi kushinda mbele atakuwa anatengeneza rekodi mpya

Liverpool ndio timu bora kwa sasa,

Tuache janja janja na tafiti ambazo hazitaifanya liverpool ionekane timu ya kawaida ktk ligi ya Laliga, wakati hyo barcelona ilikula 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Liverpool inaongoza ligi kwasababu vijana kutoka katika jiji la Manchester[Man U na Man City] hawapo vizuri hakika nakwambia Liverpool si lolote si chochote mbele ya hizo timu.

Mkuu Liverpool huwa waoga sana wakikutana na hizo timu mbili za EPL vibaya mno hata kama haziongozi ligi
 
Kwani ligi nzima ina timu 3 ?

Waambie wasishiriki ligi kuu mpk wakati watakapokua vizuri🤣🤣
 
Kwani ligi nzima ina timu 3 ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ligi haina timu 3.

Achana na Timu zingine.

Mkuu nakujibu tena Liverpool inaongoza EPL kwasababu timu tishio kwake kutoka katika jiji la Manchester hazipo vizuri na hilo wao wanalijua na wanautumia udhaifu huo vizuri

Endapo vijana kutoka katika jiji Manchester wangekuwa vzr kusingekuwa na gape kubwa hivyo.

PROUD TO BE MAN CITY'S FAN

MAN CITY FOREVER
 
Mkuu Liverpool inaongoza ligi kwasababu vijana kutoka katika jiji la Manchester[Man U na Man City] hawapo vizuri hakika nakwambia Liverpool si lolote si chochote mbele ya hizo timu.

Mkuu Liverpool huwa waoga sana wakikutana na hizo timu mbili za EPL vibaya mno hata kama haziongozi ligi
Lini man city imewahi kuwa bora na kukusanya point 73 kt michezo 25?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Liverpool inaongoza ligi kwasababu vijana kutoka katika jiji la Manchester[Man U na Man City] hawapo vizuri hakika nakwambia Liverpool si lolote si chochote mbele ya hizo timu.

Mkuu Liverpool huwa waoga sana wakikutana na hizo timu mbili za EPL vibaya mno hata kama haziongozi ligi
Acha udwanz wewe man u mwaka Wa 7 huu bado mbovu et mwaka huu tu ndio mbovu kubal mtokeo Dogo kwa hyo man city alipochukua ubingwa kwa kumuacha Liverpool point moja livermwakajana ilikuwa mbovu na Liverpool alipochukua klabu bingwa ulaya timu nyingne zilikuwa mbovu naongeza na hii alipochukua klabu bingwa dunia timu nyngne zlikuwa mbovu eee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo liver ana miaka isiyo 9ungua 2o hajaachukua ubngws wa e9l angalia serie A,Laliga,Bundersliga ndani ya miaka kumi iliyo9ita ktk ligi zote hzo bngwa kila cku ni hao hao bayern karbu miaka 5 , juve 7 , huko laliga ni Barca na Rmadrid tuu#%$& huko Ufaransa ndo usisime kla sku ni 9SG....Na hata ndani ya miaka 5 ijayo unaweza kutabiri bingwa ni NANI ktk hzo ligi nyanya lakn tofauti na e9l kuchukua zaidi ya mara mbili mfululizo ni NDOTO hakuna ligi ngumu na bora duniani kama E9L....

#Utamaduni
 
Acha udwanz wewe man u mwaka Wa 7 huu bado mbovu et mwaka huu tu ndio mbovu kubal mtokeo Dogo kwa hyo man city alipochukua ubingwa kwa kumuacha Liverpool point moja livermwakajana ilikuwa mbovu na Liverpool alipochukua klabu bingwa ulaya timu nyingne zilikuwa mbovu naongeza na hii alipochukua klabu bingwa dunia timu nyngne zlikuwa mbovu eee

Sent using Jamii Forums mobile app
Jazba ya nini na nani dogo ?.

Nani asiyejua kua Liverpool ya sasa haikamatiki na mshindani wake amekubali matokeo.

Nimemjibu mleta mada kulingana na mtazamo wangu kulingana na ushindani uliopo na utakaukawapo kati ya Liver na Man U/City.

Nimemjibu mleta mada kulingana na misimu iliyopita ambayo Liverpool alikuwa anaelekea kuchukua ubingwa lakini gafla Man U/City wakutwaa huu ubingwa na kimuacha Liver katika nafasi 2 au 3.

Japo Liverpool mwaka huu mnabeba kombe lakini wapinzani wenu hasa Man U hawapo vzr lakini hii haimanishi msinge beba kombe ila gepu la point lingekuwa dogo.

MAN CITY FOREVER
 
Kabla ya yote, tuweke indicators za ligi bora halafu tuanze kutick.

Mfano: Ligi bora ni lazima timu zikaribiane kwa points, au ligi bora inatakiwa ichukue timu tofauti tofauti ubingwa, au ligi bora ni lazima timu zake zichukue UEFA nk.

Personally kwa sasa naipa EPL kwa kigezo cha UEFA, mwaka 2018 timu ya EPL iliingia fainali UEFA, 2019 timu 4 za EPL ziliingia fainali ya UEFA na Europa.

Nikiangalia mwaka huu pia, naona kabisa kuna nafasi ya City au Liverpool kuingia fainali tena UEFA. Huku Europa Man Utd na Arsenal wakiwakilisha vyema. Na kuna miaka 5 naiona kwa mbele ambapo EPL atasumbua UEFA.

Previously, La Liga alikuwa anaingiza timu kibao Top8 UEFA, tena kuna muda unakuta semi ina Barca, RMD na Atl Madrid; ile ilikuwa ni La Liga time.

Kuna kipindi tuliwahi kuwa na Seria A: huku Juve, huku AC Milan, huku Inter, As Roma na Lazio kwa mbali nk.

Kwangu mimi nimetumia performance ya teams za ligi husika UEFA.
 
Jazba ya nini na nani dogo ?.

Nani asiyejua kua Liverpool ya sasa haikamatiki na mshindani wake amekubali matokeo.

Nimemjibu mleta mada kulingana na mtazamo wangu kulingana na ushindani uliopo na utakaukawapo kati ya Liver na Man U/City.

Nimemjibu mleta mada kulingana na misimu iliyopita ambayo Liverpool alikuwa anaelekea kuchukua ubingwa lakini gafla Man U/City wakutwaa huu ubingwa na kimuacha Liver katika nafasi 2 au 3.

Japo Liverpool mwaka huu mnabeba kombe lakini wapinzani wenu hasa Man U hawapo vzr lakini hii haimanishi msinge beba kombe ila gepu la point lingekuwa dogo.

MAN CITY FOREVER
Kwanza sorry kwa jazba yangu

Lakn Mkuu lazima ukubali kuwa timu yako ya city sio mbovu sema mwaka huu umezidiwa ubora na Liverpool usikimbilie et kigezo kuwa timu yenu mbovu au wengne wabovu ndio lover katembelea uchochoro huo hapana

Kwa hyo ninyi mlopochukuwa EPL mfululizo timu nyingne zilikuwa mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachambuzi wa Kibongo ujuaji mwingi, Angalia ligi yenu sasa ipo ICU.
 
Back
Top Bottom