Liverpool imethibitisha kuwa La Liga ni baba lao

Lakini Manchester City alipomfunga Real Madrid nyumbani kwake ulijifanya kama hujuwi kuwa kuna kitu kinaitwa JF kuja kuanzisha uzi si ndiyo?

Liverpool hiihii ilipomfunga Barcelona 4 - 0 pia ulisahau kuja kuanzisha Uzi si ndiyo?

Nyinyi Washabiki wa Matukio bora mushabikie Rede tu mpira una wenyewe.
 
Maskini wa fikra huyu mwacheni.
 
Man city kamfunga real madrid na man city haongozi ligi,msim jana liver alimtoa barca ambae ni bingwa wa laliga je na mimi utakubali nikisema epl ni bora kuliko laliga????kama ubora wa ligi hupimwa kwa kutoana kwenye uefa je EPL itakuwa bora kuliko laliga kwa hayo matokeo hapo?????
 
point less hauna tofauti na Dr mashinji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kwa nini hukuja anzisha uzi wako last week mbabe wa la liga alipokarishwa kwake na man city au last season EPL ilipotawala fainali zote tena kwa timu za EPL kuwapa vichapo vikali vikali timu za la liga.... Ligi bora haipigiwi debe mzee.... Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
 
Hahaha hi tumu hapana aisee yaan imetoka nyuma yamagoli mawili na kumuongezea mtu jingine tena dakika za mwishoni..
 
This Silence of looserpool Fans is Sponsore by Llorente[emoji23][emoji23]....

Yule Tetea Tuliyekua tunamtafuta hatimaye kapatikana Anfield
 
Uzi ulifunguliwa kwa mhemko huu. Haujabase kwenye facts kabisa
 
Uchambuzi wa mpira wa miguu kwa njia ya kubet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…