GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
LA liga ni ligi bora kwa soka LA kuvutia ...EPL ni ligi maarufu na kubwa sana duniani ,unaweza kuangalia mechi ya Watford na wolves ikawa ni mechi ya kuvutia zaidi... kuliko kuangalia Getafe ikicheza na athletic bilbao hizi zote ni timu ambazo kama ziko level moja.
EPL hakuna ufalme sana timu yoyote inaweza kubeba ndoo hata kama imepanda daraja kutoka championship..tofauti na kule LA liga timu ndogo hazina nafasi kabisa wa kulinusa kombe... japokuwa kwenye eufa huwa zinaonyesha kiwango cha bora wanapokutana na timu kubwa za EPL.
1.EPL
2.LA liga
3.bundesliga
4.league 1
5.Tanzania premier league!!!
6.sport extra ndondo cup!!!