Liverpool imethibitisha kuwa La Liga ni baba lao

LA liga ni ligi bora kwa soka LA kuvutia ...EPL ni ligi maarufu na kubwa sana duniani ,unaweza kuangalia mechi ya Watford na wolves ikawa ni mechi ya kuvutia zaidi... kuliko kuangalia Getafe ikicheza na athletic bilbao hizi zote ni timu ambazo kama ziko level moja.
EPL hakuna ufalme sana timu yoyote inaweza kubeba ndoo hata kama imepanda daraja kutoka championship..tofauti na kule LA liga timu ndogo hazina nafasi kabisa wa kulinusa kombe... japokuwa kwenye eufa huwa zinaonyesha kiwango cha bora wanapokutana na timu kubwa za EPL.
1.EPL
2.LA liga
3.bundesliga
4.league 1
5.Tanzania premier league!!!
6.sport extra ndondo cup!!!
 
hivi leganes kipind anachezea tatu mzuka ya wolves kwenye europa watu walikuwa wapi
 
Man city kamfunga real madrid na man city haongozi ligi,msim jana liver alimtoa barca ambae ni bingwa wa laliga je na mimi utakubali nikisema epl ni bora kuliko laliga????kama ubora wa ligi hupimwa kwa kutoana kwenye uefa je EPL itakuwa bora kuliko laliga kwa hayo matokeo hapo?????
Kwani hujui kuwa Man city ndiye bingwa mtetezi wa E.P.L na Real madrid hatetei kombe lolote lile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Manchester City alipomfunga Real Madrid nyumbani kwake ulijifanya kama hujuwi kuwa kuna kitu kinaitwa JF kuja kuanzisha uzi si ndiyo?

Liverpool hiihii ilipomfunga Barcelona 4 - 0 pia ulisahau kuja kuanzisha Uzi si ndiyo?

Nyinyi Washabiki wa Matukio bora mushabikie Rede tu mpira una wenyewe.
cheki jinsi akili zenu mbovu.

Liverpool ilimfunga Barca 4 , na Liverpool ilipigwa 3 Camp nou..( kila mtu kashinda kwake ) kumbuka wakati Barca anapigwa hakuwa anaongoza ligi kwa tofauti ya 20 points plus kama Liverpool.

Atleti imewapiga Liverpool nje ndani, wakati huo huo aliyepigwa nje ndani anaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 20, halafu kapigwa nje ndani na timu ya 6 ... we huoni tofauti ??!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kwa nini hukuja anzisha uzi wako last week mbabe wa la liga alipokarishwa kwake na man city au last season EPL ilipotawala fainali zote tena kwa timu za EPL kuwapa vichapo vikali vikali timu za la liga.... Ligi bora haipigiwi debe mzee.... Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
Unaposema Real Madrid mmbabe wa La liga unamaanisha nini?

Anaongoza ligi au ni bingwa mtetezi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Manchester City alipomfunga Real Madrid nyumbani kwake ulijifanya kama hujuwi kuwa kuna kitu kinaitwa JF kuja kuanzisha uzi si ndiyo?

Liverpool hiihii ilipomfunga Barcelona 4 - 0 pia ulisahau kuja kuanzisha Uzi si ndiyo?

Nyinyi Washabiki wa Matukio bora mushabikie Rede tu mpira una wenyewe.
Na wenyewe wenye mpira inawezekana wewe haumo....hahahaha
 
LA liga ni ligi bora kwa soka LA kuvutia ...EPL ni ligi maarufu na kubwa sana duniani ,unaweza kuangalia mechi ya Watford na wolves ikawa ni mechi ya kuvutia zaidi... kuliko kuangalia Getafe ikicheza na athletic bilbao hizi zote ni timu ambazo kama ziko level moja.
EPL hakuna ufalme sana timu yoyote inaweza kubeba ndoo hata kama imepanda daraja kutoka championship..tofauti na kule LA liga timu ndogo hazina nafasi kabisa wa kulinusa kombe... japokuwa kwenye eufa huwa zinaonyesha kiwango cha bora wanapokutana na timu kubwa za EPL.
1.EPL
2.LA liga
3.bundesliga
4.league 1
5.Tanzania premier league!!!
6.sport extra ndondo cup!!!
Nipe takwimu ni lini uliwahi kuona timu kutoka La liga inaongoza ligi kwa utofauti wa pointi 20 plus....

Naomba ulete hizo takwimu ili tujue ligi gani mdebwedo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe takwimu ni lini uliwahi kuona timu kutoka La liga inaongoza ligi kwa utofauti wa pointi 20 plus....

Naomba ulete hizo takwimu ili tujue ligi gani mdebwedo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya pointi 20 imekuwa mwaka huu, miaka mingine huwa tunasubiri hadi mechi ya mwisho ili kujua bingwaa La liga bingwa ni either Real Madrid au Barca
 
cheki jinsi akili zenu mbovu.

Liverpool ilimfunga Barca 4 , na Liverpool ilipigwa 3 Camp nou..( kila mtu kashinda kwake ) kumbuka wakati Barca anapigwa hakuwa anaongoza ligi kwa tofauti ya 20 points plus kama Liverpool.

Atleti imewapiga Liverpool nje ndani, wakati huo huo aliyepigwa nje ndani anaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 20, halafu kapigwa nje ndani na timu ya 6 ... we huoni tofauti ??!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa iseme kwa Viceversa Real Madrid imefungwa Nyumbani kwake na Timu iliyozidiwa kwa Points 20 na anayeoongoza Ligi.

Hapo imekaaje?

Narudia tena Nyinyi ni Watu munaoibuka kwa Matukio tu.

Upepo ukibadilika huji kuanzisha Uzi hapa.
 
Uefa na ligi ni vitu viwili tofaut kabisa

Liver alibeba uefa instanbul mbele ya milan ila kwenye ligi alikuwa hata haongozi

Chelsea alibeba uefa akiwa ni wa 6

Madrid hajachukua laliga mfululizo miaka ya karibun ila uefa kaichukua mara 3 mfululizo

Hizi knockout ni balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Spain kwa miaka ya hivi karibuni wamechukua ubingwa maranyingi kama sikosei 7 or 10 years mfululizo kuliko nchi yoyote duniani...Uingereza wakasome
 
LA liga ni ligi bora kwa soka LA kuvutia ...EPL ni ligi maarufu na kubwa sana duniani ,unaweza kuangalia mechi ya Watford na wolves ikawa ni mechi ya kuvutia zaidi... kuliko kuangalia Getafe ikicheza na athletic bilbao hizi zote ni timu ambazo kama ziko level moja.
EPL hakuna ufalme sana timu yoyote inaweza kubeba ndoo hata kama imepanda daraja kutoka championship..tofauti na kule LA liga timu ndogo hazina nafasi kabisa wa kulinusa kombe... japokuwa kwenye eufa huwa zinaonyesha kiwango cha bora wanapokutana na timu kubwa za EPL.
1.EPL
2.LA liga
3.bundesliga
4.league 1
5.Tanzania premier league!!!
6.sport extra ndondo cup!!!

1 La liga
2 Serie A
3 Bundesliga
4 Argentina Primera division
5 Premier league
 
Nipe takwimu ni lini uliwahi kuona timu kutoka La liga inaongoza ligi kwa utofauti wa pointi 20 plus....

Naomba ulete hizo takwimu ili tujue ligi gani mdebwedo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo siyo sababu ya kuwa na ligi mbovu..kwa timu kinara kuongoza kwa zaidi ya alama 20...angalia ugumu wa ligi kuanzia timu ya kwanza mpaka ya mwisho yeyoyote anawezA kupoteza mchezo haijalishi ni mkubwa au mdogo huyohuyo liva kapoteza kwa watford..na bado anaweza kupoteza zaidi kwa mechi zijazo kwa timu mdogo Tofauti na ligi za lAliga,seria A,na league 1,huku unakuta ufalme wa Timu kubwa tu.
 
Wapenzi wa laliga huwa wanakuja na kupotea , timu za epl zikishinda dhidi ya timu za laliga hawaongei lkn timu za laliga zikishinda dhidi ya timu za epl utasikia wakija hapa na mapovu Yao. Valencia kapigwa 8, Madrid kapigwa 2, Barcelona kadroo na napol, kule Europa levante alipigwa 4 na wolves

Ni huu mwaka tu wameonyesha viwonders...miaka iliyopita tumewaburuza sana hao choka wako
 
Back
Top Bottom