Liverpool imethibitisha kuwa La Liga ni baba lao

Liverpool imethibitisha kuwa La Liga ni baba lao

Uefa na ligi ni vitu viwili tofaut kabisa

Liver alibeba uefa instanbul mbele ya milan ila kwenye ligi alikuwa hata haongozi

Chelsea alibeba uefa akiwa ni wa 6

Madrid hajachukua laliga mfululizo miaka ya karibun ila uefa kaichukua mara 3 mfululizo

Hizi knockout ni balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajielewi huyo ana kariri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unanichekesha

Yaani anayeongoza ligi amewazidi wenzake pointi 25 halafu unadiriki kabisa bila kuwa na aibu kusema hiyo ligi ni ngumu?
Hiyo siyo sababu ya kuwa na ligi mbovu..kwa timu kinara kuongoza kwa zaidi ya alama 20...angalia ugumu wa ligi kuanzia timu ya kwanza mpaka ya mwisho yeyoyote anawezA kupoteza mchezo haijalishi ni mkubwa au mdogo huyohuyo liva kapoteza kwa watford..na bado anaweza kupoteza zaidi kwa mechi zijazo kwa timu mdogo Tofauti na ligi za lAliga,seria A,na league 1,huku unakuta ufalme wa Timu kubwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa iseme kwa Viceversa Real Madrid imefungwa Nyumbani kwake na Timu iliyozidiwa kwa Points 20 na anayeoongoza Ligi.

Hapo imekaaje?

Narudia tena Nyinyi ni Watu munaoibuka kwa Matukio tu.

Upepo ukibadilika huji kuanzisha Uzi hapa.
Kwani hujui kuwa Manchester city ndiye bingwa mtetezi wa England na ambaye amechukua domestic treble !!

Au unahisi bingwa mtetezi wa England ni nani?

Huyo Real Madrid hana kikombe cha kuku pale La liga....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ambayo imefungwa mechi moja tuu E.P.L na inaongoza kwa tofauti ya pointi zaidi ya 20 inapigwa nje na ndani na timu iliyopo nafasi ya 6 La Liga.

Leo ndio mtajua kuwa huwa mnakaririshwa kuwa England is the best league


View attachment 1384987

Sent using Jamii Forums mobile app
Umelinganisha kijinga kweli, kufungwa hakufuati nafas!
Watford waliifunga Liverpool kwenye msimamo ni wangapi? Yanga amefungwa na KMC!
Utakuwa wewe siyo mtu wa mpira, elendelea kushabikia bongo flavor tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za mleta mada timu ikiongoza ligi kwa tofauti ya point 20 basi hiyo ligi ni dhaifu. Kawaulize Barcelona kipindi wanabanjuliwa kwa Agg ya bao 7 na Bayern Munich walikuwa wanaongoza kwa point ngapi.
 
Akili za mleta mada timu ikiongoza ligi kwa tofauti ya point 20 basi hiyo ligi ni dhaifu. Kawaulize Barcelona kipindi wanabanjuliwa kwa Agg ya bao 7 na Bayern Munich walikuwa wanaongoza kwa point ngapi.
cheki hili chizi lingine...

Barcelona hakuchukua ubingwa wa ligi huo msimu anafungwa kwa aggregate ya goli 7..

msijifanye mnafuatilia mpira wakati hamjui kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1597447464638.png
 
Back
Top Bottom