mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Hajielewi huyo ana kariri tuUefa na ligi ni vitu viwili tofaut kabisa
Liver alibeba uefa instanbul mbele ya milan ila kwenye ligi alikuwa hata haongozi
Chelsea alibeba uefa akiwa ni wa 6
Madrid hajachukua laliga mfululizo miaka ya karibun ila uefa kaichukua mara 3 mfululizo
Hizi knockout ni balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app