Liverpool inabebwa, goli la Salah offside waziwazi

Liverpool inabebwa, goli la Salah offside waziwazi

Dear Gea anahusika vipi? Hii sio offside kwasababu wakati mpira unapigwa Salah alikuwa kwenye half yao(Liverpool). Offside ina-apply kwenye opposition half.
Na De Gea alikuwa wapi? Sheria na tafsiri zake si mchezo wa kitoto.
 
Ole alichelewa kufanya ile Sabu ya Akina Mata na greenwood,imetukosti mkuu afu Lile goli jamaa hakuvuka mstari wa Kati haikuwa offside.
 
Na De Gea alikuwa wapi? Sheria na tafsiri zake si mchezo wa kitoto.
Nakusaidia uelimike. De Gea hahusiki kwenye uamuzi wa ile iwe offside au isiwe hata angekuwa na yeye kaja kucheza ile kona hakuna offside kwasababu Salah alikuwa half ya Liverpool wakati anapasiwa ule mpira. Nimemaliza.
 
Mpira uliorushwa na kipa wa liva ulipaswa upigwe na mguu kwasababu matta alikuwa offside na refa alipiga filimba. Shida ndio iko hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine tuko makini wakati tunaangalia mpira. Wengine umakini huo hamna. Linesman alionyesha kibenfera as offside. Refa aliona na kwasababu haikuwa na madhara na kipa kadaka refa Ali waive on huku akimpa linesman thumbs up kuwa kaona kibendera. Hakukuwa na sababu ya kusimamisha mpira. Naongea hivi nikiwa mkereketwa wa Man utd. Hakuna tatizo kwenye goli la pili la Liverpool.
 
Hujui sheria za mpira wewe. Kipa akiwa nje ya 18 anahesabika kama mchezaji wa ndani. Kipindi mpira unapigwa De Gea alikua nje ya 18. 😂😂 kaa hivyo hivyo!
Ha ha haa,alijidai na yeye anaenda kushambulia kikawawakia
 
Hujui sheria za mpira wewe. Kipa akiwa nje ya 18 anahesabika kama mchezaji wa ndani. Kipindi mpira unapigwa De Gea alikua nje ya 18. [emoji23][emoji23] kaa hivyo hivyo!
Acha hivyo Salah mwenyewe alikuwa hajavuka mstari wa katikati ya uwanja ameuvuka hyku mpira ukiwa angani.
NO OFFSIDE, IT'S A CLEAR GOAL.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm sijawahi ona offside mpira unapigwa ukiwa chini. Lazima uweke mpira chini, nikama vile fouls mpira lazima uwe kwenye pitch.
Wengine tuko makini wakati tunaangalia mpira. Wengine umakini huo hamna. Linesman alionyesha kibenfera as offside. Refa aliona na kwasababu haikuwa na madhara na kipa kadaka refa Ali waive on huku akimpa linesman thumbs up kuwa kaona kibendera. Hakukuwa na sababu ya kusimamisha mpira. Naongea hivi nikiwa mkereketwa wa Man utd. Hakuna tatizo kwenye goli la pili la Liverpool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm sijawahi ona offside mpira unapigwa ukiwa chini. Lazima uweke mpira chini, nikama vile fouls mpira lazima uwe kwenye pitch.

Sent using Jamii Forums mobile app
Refa ka waive on kwasababu kipa kadaka. Hakukuwa na sababu ya kupoteza muda. Sio lazima mpira usimame ni sawa na 'advantage' kwenye foul play. Attacking team inapewa advantage ikitokea.
 
Back
Top Bottom