Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Hujui sheria ya Offside kaa kimya ufiche ujinga wakoNimeamini Liver inabebwa goli la Salah dakika ya majeruhi offside ya wazi kabisa.
Ngusero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui sheria ya Offside kaa kimya ufiche ujinga wakoNimeamini Liver inabebwa goli la Salah dakika ya majeruhi offside ya wazi kabisa.
Ngusero
Dear Gea anahusika vipi? Hii sio offside kwasababu wakati mpira unapigwa Salah alikuwa kwenye half yao(Liverpool). Offside ina-apply kwenye opposition half.Una walau ABC za uamuzi wa mpira wa miguu? De Gea alikuwa wapi mpira ulipopigwa na A.Becker? Usitafute presha ya bure.
Na De Gea alikuwa wapi? Sheria na tafsiri zake si mchezo wa kitoto.Dear Gea anahusika vipi? Hii sio offside kwasababu wakati mpira unapigwa Salah alikuwa kwenye half yao(Liverpool). Offside ina-apply kwenye opposition half.
Krismas walisema 44,000 unacheki EPL ..... Sijajua kama ofa inaendelea ila hata kama itakuwa imeisha watakuwa wamepandisha kidogo tuNdio mkuu
Fanyeni kazi. Nadhani ushanifahamu😆😆Wewe mwenyewe hujui Sheria za mpira. Offside applies on opposition half. Salah alikuwa kwenye half yao wakati mpira umerushwa/umepigwa.
Nakusaidia uelimike. De Gea hahusiki kwenye uamuzi wa ile iwe offside au isiwe hata angekuwa na yeye kaja kucheza ile kona hakuna offside kwasababu Salah alikuwa half ya Liverpool wakati anapasiwa ule mpira. Nimemaliza.Na De Gea alikuwa wapi? Sheria na tafsiri zake si mchezo wa kitoto.
Wewe mwenyewe hujui Sheria za mpira. Offside applies on opposition half. Salah alikuwa kwenye half yao wakati mpira umerushwa/umepigwa.
Wewe mwenyewe hujui Sheria za mpira. Offside applies on opposition half. Salah alikuwa kwenye half yao wakati mpira umerushwa/umepigwa.
Ha ha ha cop dnFanyeni kazi. Nadhani ushanifahamu😆😆
YapHa ha ha cop dn
Fungeni na nyie magoli ya offside. Pongeza wenzako wakishindaNimeamini Liver inabebwa goli la Salah dakika ya majeruhi offside ya wazi kabisa.
Ngusero
Wengine tuko makini wakati tunaangalia mpira. Wengine umakini huo hamna. Linesman alionyesha kibenfera as offside. Refa aliona na kwasababu haikuwa na madhara na kipa kadaka refa Ali waive on huku akimpa linesman thumbs up kuwa kaona kibendera. Hakukuwa na sababu ya kusimamisha mpira. Naongea hivi nikiwa mkereketwa wa Man utd. Hakuna tatizo kwenye goli la pili la Liverpool.Mpira uliorushwa na kipa wa liva ulipaswa upigwe na mguu kwasababu matta alikuwa offside na refa alipiga filimba. Shida ndio iko hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haa,alijidai na yeye anaenda kushambulia kikawawakiaHujui sheria za mpira wewe. Kipa akiwa nje ya 18 anahesabika kama mchezaji wa ndani. Kipindi mpira unapigwa De Gea alikua nje ya 18. 😂😂 kaa hivyo hivyo!
Acha hivyo Salah mwenyewe alikuwa hajavuka mstari wa katikati ya uwanja ameuvuka hyku mpira ukiwa angani.Hujui sheria za mpira wewe. Kipa akiwa nje ya 18 anahesabika kama mchezaji wa ndani. Kipindi mpira unapigwa De Gea alikua nje ya 18. [emoji23][emoji23] kaa hivyo hivyo!
Wengine tuko makini wakati tunaangalia mpira. Wengine umakini huo hamna. Linesman alionyesha kibenfera as offside. Refa aliona na kwasababu haikuwa na madhara na kipa kadaka refa Ali waive on huku akimpa linesman thumbs up kuwa kaona kibendera. Hakukuwa na sababu ya kusimamisha mpira. Naongea hivi nikiwa mkereketwa wa Man utd. Hakuna tatizo kwenye goli la pili la Liverpool.
Refa ka waive on kwasababu kipa kadaka. Hakukuwa na sababu ya kupoteza muda. Sio lazima mpira usimame ni sawa na 'advantage' kwenye foul play. Attacking team inapewa advantage ikitokea.Mm sijawahi ona offside mpira unapigwa ukiwa chini. Lazima uweke mpira chini, nikama vile fouls mpira lazima uwe kwenye pitch.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba, jaribu kusoma tena sheria vizuri, utaona sababu zote mbili zina mashikoAcha hivyo Salah mwenyewe alikuwa hajavuka mstari wa katikati ya uwanja ameuvuka hyku mpira ukiwa angani.
NO OFFSIDE, IT'S A CLEAR GOAL.
Sent using Jamii Forums mobile app