squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
hapadawa ni kuweka mzigo kwa spurs. ikishinda muhindi kafa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mm nampa tot kwa mhind hahahahapadawa ni kuweka mzigo kwa spurs. ikishinda muhindi kafa.
Mzee wa gambosh Tottenham wana lift trophy leo piga uwa nitarudi hapahilo ni jambo gumu kutokea
Ni kesho chief...soryMzee wa gambosh Tottenham wana lift trophy leo piga uwa nitarudi hapa
Yeyote anaweza kubebaHapana hachukui,tot anabeba
[emoji28]Post kama hizi ndo mnawawekeaga gundu wenzenu wasibebe kombe,kwani ukibaki nalo moyoni kwamba Liverpool anabeba kombe utateseka?......
Pole sanaTangu Liverpool adondokewe na ngekewa ya kumfunga Barcelona na kumfurusha katika mashindano ya uefa...
Mashabiki wa Liverpool wamejisahau kabisa kana kwamba wamemaliza msimu kwa mafanikio
Nawaambia kila siku marafiki zangu wanazi wa Liverpool furaha yao inaisha kesho jioni...
Kitu alichofanyiwa Manchester city ndio kitakachomkuta Liverpool, atachakazwa bila huruma na Tottenham
Sioni mbinu za kloop kucheza fainal yeye huwaambia wachezaji wake attack attack akifikiri yeye ndio anaruhusa ya kushambulia peke yake
Kesho itakuwa ndio mwanzo wa Liverpool kupoteana nuksi itarudi tena kwenye EPL ya msimu ujao 2019/2020 hawataingia hata top four
Hongereni spurs mabingwa watarajiwa wa uefa champions league 2018/2019
Grace period is over for Liverpool fans
Anajidanganya huyu jamaaPole sana
Kwa hii ya leo hapanaTatizo ni kwamba mkishatabilii tayar mnatengeneza mkosi kwa liverpool,
Mnakumbuka europa arsenal na chelsea??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
👍👍Liva ana nafas kubwa
We Mzee uko vizuri kichwaniHabarin wakuu ,
Moja kwa moja mpaka kwenye mada , liverpool kesho hatokua na namna nyingine zaidi ya kulitwaa hilo kombe ...
Nina facts kama 30 na calculations nne za kuthibitisha hilo ... Nikiziweka hapa tutakesha ni kitabu cha page hamsin
Nawapa pole ndugu zangu wa pale london kwamba kesho hatuna namna zaidi ya kuwachachafya
Karibu ...
View attachment 1112818