Liverpool kesho anachukua ubingwa

Liverpool kesho anachukua ubingwa

Tangu Liverpool adondokewe na ngekewa ya kumfunga Barcelona na kumfurusha katika mashindano ya uefa...
Mashabiki wa Liverpool wamejisahau kabisa kana kwamba wamemaliza msimu kwa mafanikio
Nawaambia kila siku marafiki zangu wanazi wa Liverpool furaha yao inaisha kesho jioni...

Kitu alichofanyiwa Manchester city ndio kitakachomkuta Liverpool, atachakazwa bila huruma na Tottenham

Sioni mbinu za kloop kucheza fainal yeye huwaambia wachezaji wake attack attack akifikiri yeye ndio anaruhusa ya kushambulia peke yake

Kesho itakuwa ndio mwanzo wa Liverpool kupoteana nuksi itarudi tena kwenye EPL ya msimu ujao 2019/2020 hawataingia hata top four

Hongereni spurs mabingwa watarajiwa wa uefa champions league 2018/2019

Grace period is over for Liverpool fans
 
Post kama hizi ndo mnawawekeaga gundu wenzenu wasibebe kombe,kwani ukibaki nalo moyoni kwamba Liverpool anabeba kombe utateseka?......
 
Tangu Liverpool adondokewe na ngekewa ya kumfunga Barcelona na kumfurusha katika mashindano ya uefa...
Mashabiki wa Liverpool wamejisahau kabisa kana kwamba wamemaliza msimu kwa mafanikio
Nawaambia kila siku marafiki zangu wanazi wa Liverpool furaha yao inaisha kesho jioni...

Kitu alichofanyiwa Manchester city ndio kitakachomkuta Liverpool, atachakazwa bila huruma na Tottenham

Sioni mbinu za kloop kucheza fainal yeye huwaambia wachezaji wake attack attack akifikiri yeye ndio anaruhusa ya kushambulia peke yake

Kesho itakuwa ndio mwanzo wa Liverpool kupoteana nuksi itarudi tena kwenye EPL ya msimu ujao 2019/2020 hawataingia hata top four

Hongereni spurs mabingwa watarajiwa wa uefa champions league 2018/2019

Grace period is over for Liverpool fans
Pole sana
 
Tatizo ni kwamba mkishatabilii tayar mnatengeneza mkosi kwa liverpool,

Mnakumbuka europa arsenal na chelsea??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hii ya leo hapana
 
Habarin wakuu ,

Moja kwa moja mpaka kwenye mada , liverpool kesho hatokua na namna nyingine zaidi ya kulitwaa hilo kombe ...

Nina facts kama 30 na calculations nne za kuthibitisha hilo ... Nikiziweka hapa tutakesha ni kitabu cha page hamsin

Nawapa pole ndugu zangu wa pale london kwamba kesho hatuna namna zaidi ya kuwachachafya

Karibu ...
View attachment 1112818
We Mzee uko vizuri kichwani
 
Back
Top Bottom