PinnedTottenham anachukua pin my comment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PinnedTottenham anachukua pin my comment
Ball possession wameongoza kwa asilimia kubwa lakini mipango ya leo ilkua babkubwaWe Mzee uko vizuri kichwani
Sawa anachukuaTottenham anachukua pin my comment
Walidhani na leo Klopp anaenda kuuza suraBall possession wameongoza kwa asilimia kubwa lakini mipango ya leo ilkua babkubwa
Yaan on those facts 30 , na hii ilikuepo kwamba tungecheza game tofauti kabisa na game mbili zilizopita long passes na super sub
😂😂😂! Vice versa is true!Kitu alichofanyiwa Manchester city ndio kitakachomkuta Liverpool, atachakazwa bila huruma na Tottenham
Kuna watu huwa mnatoka kuvuta bange chooni na kuja kucomment ushingi huku ndaniTangu Liverpool adondokewe na ngekewa ya kumfunga Barcelona na kumfurusha katika mashindano ya uefa...
Mashabiki wa Liverpool wamejisahau kabisa kana kwamba wamemaliza msimu kwa mafanikio
Nawaambia kila siku marafiki zangu wanazi wa Liverpool furaha yao inaisha kesho jioni...
Kitu alichofanyiwa Manchester city ndio kitakachomkuta Liverpool, atachakazwa bila huruma na Tottenham
Sioni mbinu za kloop kucheza fainal yeye huwaambia wachezaji wake attack attack akifikiri yeye ndio anaruhusa ya kushambulia peke yake
Kesho itakuwa ndio mwanzo wa Liverpool kupoteana nuksi itarudi tena kwenye EPL ya msimu ujao 2019/2020 hawataingia hata top four
Hongereni spurs mabingwa watarajiwa wa uefa champions league 2018/2019
Grace period is over for Liverpool fans
Hawa wana matatizo sana yaani !!Kuna watu huwa mnatoka kuvuta bange chooni na kuja kucomment ushingi huku ndani
Hawa wana matatizo sana yaani !!
TumewakomeshaYaani ni sheeeedah
Hahahahahaha tena mno tuTumewakomesha