Liverpool kesho anachukua ubingwa

Liverpool kesho anachukua ubingwa

We Mzee uko vizuri kichwani
Ball possession wameongoza kwa asilimia kubwa lakini mipango ya leo ilkua babkubwa

Yaan on those facts 30 , na hii ilikuepo kwamba tungecheza game tofauti kabisa na game mbili zilizopita long passes na super sub
 
Tangu Liverpool adondokewe na ngekewa ya kumfunga Barcelona na kumfurusha katika mashindano ya uefa...
Mashabiki wa Liverpool wamejisahau kabisa kana kwamba wamemaliza msimu kwa mafanikio
Nawaambia kila siku marafiki zangu wanazi wa Liverpool furaha yao inaisha kesho jioni...

Kitu alichofanyiwa Manchester city ndio kitakachomkuta Liverpool, atachakazwa bila huruma na Tottenham

Sioni mbinu za kloop kucheza fainal yeye huwaambia wachezaji wake attack attack akifikiri yeye ndio anaruhusa ya kushambulia peke yake

Kesho itakuwa ndio mwanzo wa Liverpool kupoteana nuksi itarudi tena kwenye EPL ya msimu ujao 2019/2020 hawataingia hata top four

Hongereni spurs mabingwa watarajiwa wa uefa champions league 2018/2019

Grace period is over for Liverpool fans
Kuna watu huwa mnatoka kuvuta bange chooni na kuja kucomment ushingi huku ndani
 
Back
Top Bottom