Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo ni mfumo wako mpyaChelsea ya mwaka huu hata ingekutana na Simba FC ingekung'utwa hata 8, hivi kocha gani hana mbinu mbadala zaidi ya kukariri 4-4-3 na ball position tu bila ya kuwa na techniques, counter attacks na hata mfumo mwingine kuliko kukariri 4-4-3 na ball position tu kila siku[emoji848][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami umenishangaza. Labda hakuna golikipa gorini!
Hahaha...ondalaga gete.
Mhala sana lakini
"Enough of No Love"
Mchawi si lazima atembee na tunguri...Chelsea leo anafuta ndoto za Majogoo za kutwaa kwa mara ya kwanza kikombe cha Premier Laague pale Anfield.
Liver hajafa , ila yy ndye ameua!Chelsea leo anafuta ndoto za Majogoo za kutwaa kwa mara ya kwanza kikombe cha Premier Laague pale Anfield.