Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani iwe hivyoChelsea leo anafuta ndoto za Majogoo za kutwaa kwa mara ya kwanza kikombe cha Premier Laague pale Anfield.
Umeandika hii game ni ngimu kwa liver je ni nyepesi kwa Chelsea?Liverpool wanamjua hazard alichowafanyaaa
Kwenye huu msimu ukiachana na man city, timu inayomsumbua liverpool ni chelsea
Game la kwanza 1-1 ,nakumbuka liverpool walisawazisha kipind cha mwisho kabisa, walikuwawwameshaigwa mojaa,
Kombe la calabao hazard aliwafanya kitu mbaya liverpool kwa kuwapiga 2-1 ,kloop anaelewa moto wa chelsea
Hii game ni ngumu sana kwa liver ngonja muda ufikee
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool wanataka ushindi, ndio maana nikasema ni ngumi kupata ushind kwa chelseaUmeandika hii game ni ngimu kwa liver je ni nyepesi kwa Chelsea?
Hivi hujui kuwa Chelsea wanataka ushindi ili waendelee kuwepo kwenye race ya top four?Liverpool wanataka ushindi, ndio maana nikasema ni ngumi kupata ushind kwa chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...ondokela gete nkoiNywanoko
Usile Mbegu.
Chelsea anahitaji kushinda mechi hii maana competition ya top4 sio ya kitoto.
Chelsea ndoto za kuingia top 4 afute kabisaaa.. Laa sivyo mashabiki wa Chelsea wataugua kwashakoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea ya mwaka huu hata ingekutana na Simba FC ingekung'utwa hata 8, hivi kocha gani hana mbinu mbadala zaidi ya kukariri 4-4-3 na ball position tu bila ya kuwa na techniques, counter attacks na hata mfumo mwingine kuliko kukariri 4-4-3 na ball position tu kila siku[emoji848][emoji57]Naona mnajitahidi kujifariji Chelsea ila muelewe tu kuwa hizo ndoto zenu za historia hazitakuwa applied popote Leo.. Mfute kabisaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha akotunojaHahaha...ondokela gete nkoi
"Enough of No Love"
Hahaha...ondalaga gete.Hahaha akotunoja
Usile Mbegu.
Mhola nno nkoiHahaha...ondalaga gete.
Mhala sana lakini
"Enough of No Love"
Mhola nno nkoi
Usile Mbegu.
Amka wewe, hiyo ndoto ni ya kutisha mno.... usiku utapokwisha.Chelsea leo anafuta ndoto za Majogoo za kutwaa kwa mara ya kwanza kikombe cha Premier Laague pale Anfield.
UNAUHAKIKA UNACHO . .KINENA??Chelsea leo anafuta ndoto za Majogoo za kutwaa kwa mara ya kwanza kikombe cha Premier Laague pale Anfield.