Liverpool leo anakufa mbele ya Chelsea na ndoto za ubingwa zinafutila

Liverpool leo anakufa mbele ya Chelsea na ndoto za ubingwa zinafutila

Liverpool wanamjua hazard alichowafanyaaa

Kwenye huu msimu ukiachana na man city, timu inayomsumbua liverpool ni chelsea

Game la kwanza 1-1 ,nakumbuka liverpool walisawazisha kipind cha mwisho kabisa, walikuwawwameshaigwa mojaa,

Kombe la calabao hazard aliwafanya kitu mbaya liverpool kwa kuwapiga 2-1 ,kloop anaelewa moto wa chelsea


Hii game ni ngumu sana kwa liver ngonja muda ufikee

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika hii game ni ngimu kwa liver je ni nyepesi kwa Chelsea?
 
Naona mnajitahidi kujifariji Chelsea ila muelewe tu kuwa hizo ndoto zenu za historia hazitakuwa applied popote Leo.. Mfute kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea ya mwaka huu hata ingekutana na Simba FC ingekung'utwa hata 8, hivi kocha gani hana mbinu mbadala zaidi ya kukariri 4-4-3 na ball position tu bila ya kuwa na techniques, counter attacks na hata mfumo mwingine kuliko kukariri 4-4-3 na ball position tu kila siku[emoji848][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom