Saa zoteKwani huko TZ sasa hivi ni muda gani?
Kwani wanga (wachawi) huwa wanawanga/wanaroga saa ngapi?
Apo umeshindwa kabisa kuficha ujinga wako kwanini asiwe mama yako?Asipochukua Liverpool vikombe vyote viwili basi atachukua baba ako #YNWA
Aisee uo mpira unavyouchezea vidoleni kama unajua vile hata kutuliza ngoziBarcelona anaenda kufa camp nou akija anfild hapindui meza.. city anadraw na spurs na leicester liva atashinda mech 3 atadraw ya mwsho then anachukua epl.
HahahaHachukui chochote labda achukue ndoo ya plastic
Hii ndo inaitwa chunusi, chunusi, chunusi. Haya nenda kabeti sasa.Habari wakuu
Najua kuna watu wanamatumain makubwa sanaa na liverpool, huku wakijihakikishia kubeba epl na uefa
Nasikitika kuwatangazia kuwa Kwa gundu alilonalo klop, hatoweza kubeba kombe hata la mbuzi msimu huu
Uefa anaenda kupigwa na barce, epl najua amebakiza match nne, najua anaweza shinda zotee, man city pia kwa hasira alizonazo match ngumu ilikuwa totnhum lakin jumamosi anaenda kuchukia point tatu mhimu ,man city nayeye pia ananafasi ya kushinda match zake tano zilizobaki na kuwa bingwa
Liverpool poleni sana
City aki draw tu mechi moja liva akashinda zote .liveepool anakua bingwaTatizo ili liverpool achukue epl lazima ashide timu zote, halafu man city apoteze point tatu
Swala amabalo ni ngumi kwa upande flan
Liverpool akishinda match zilizobaki na city akashinda bas gardiola anabeba epl
Mkuu lugha chafu zimeingiaje, huwezi kumjibu yeye mpaka umtaje baba yake? Baba yake ndie kaleta thread hapa?Asipochukua Liverpool vikombe vyote viwili basi atachukua baba ako #YNWA
Man U yupo tayari Man City achukue kuliko Liverpool.
Mtakuwa mmenielewa
Sio shabiki wa Liverpool lakini msimu huu natamani wachukue ubingwa! Tangu naanza shule ya msingi mpaka sasa sijawahi sikia wakichukua ubingwa wa EPL! No acheni na wao wachukue msimu huu!
Tatizo ni klop, anagundu balaaHii ndo inaitwa chunusi, chunusi, chunusi. Haya nenda kabeti sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisaMan u hawezi mfunga man city, ile ilikuwaga nguvu ya soda tu
Uwe unajitahidi kusali mkuu..!Barcelona anaenda kufa camp nou akija anfild hapindui meza.. city anadraw na spurs na leicester liva atashinda mech 3 atadraw ya mwsho then anachukua epl.
Barcelona anaenda kufa camp nou akija anfild hapindui meza.. city anadraw na spurs na leicester liva atashinda mech 3 atadraw ya mwsho then anachukua epl.