Liverpool msimu huu hachukui kombe lolote

Liverpool msimu huu hachukui kombe lolote

Habari wakuu

Najua kuna watu wanamatumain makubwa sanaa na liverpool, huku wakijihakikishia kubeba epl na uefa

Nasikitika kuwatangazia kuwa Kwa gundu alilonalo klop, hatoweza kubeba kombe hata la mbuzi msimu huu

Uefa anaenda kupigwa na barce, epl najua amebakiza match nne, najua anaweza shinda zotee, man city pia kwa hasira alizonazo match ngumu ilikuwa totnhum lakin jumamosi anaenda kuchukia point tatu mhimu ,man city nayeye pia ananafasi ya kushinda match zake tano zilizobaki na kuwa bingwa

Liverpool poleni sana
Wewe ndo ulikuwa mchawi wetu..[emoji23][emoji23][emoji23]

Tushachukua kombe mapema sana
 
1597448021220.png
 
Back
Top Bottom