Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hadi sasa unaamini mtafurukutaMawazo yako hatuwezi kuyapinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi sasa unaamini mtafurukutaMawazo yako hatuwezi kuyapinga
Kabisa.Kulikuwa na umuhimu kuwa Yule Amber Ruthy akawa Mwanamme, halafu wewe ndiye ukawa Amber Ruthy.
Nadhani Matokeo umeyaona
Leo naona unafuraha sanaHabari wakuu
Najua kuna watu wanamatumain makubwa sanaa na liverpool, huku wakijihakikishia kubeba epl na uefa
Nasikitika kuwatangazia kuwa Kwa gundu alilonalo klop, hatoweza kubeba kombe hata la mbuzi msimu huu
Uefa anaenda kupigwa na barce, epl najua amebakiza match nne, najua anaweza shinda zotee, man city pia kwa hasira alizonazo match ngumu ilikuwa totnhum lakin jumamosi anaenda kuchukia point tatu mhimu ,man city nayeye pia ananafasi ya kushinda match zake tano zilizobaki na kuwa bingwa
Liverpool poleni sana
Habari wakuu

Naona mlikuwa mnausubili uzii wangu kwa hamuu sanaaLiverpool imekuvua nguo! Aibu yako hii
Mbona mnahangaika na uzii wangu wakuu
Kiazi kama wew siwez bishanaKulikuwa na umuhimu kuwa Yule Amber Ruthy akawa Mwanamme, halafu wewe ndiye ukawa Amber Ruthy.
Nadhani Matokeo umeyaona
Habari wakuu
Najua kuna watu wanamatumain makubwa sanaa na liverpool, huku wakijihakikishia kubeba epl na uefa
Nasikitika kuwatangazia kuwa Kwa gundu alilonalo klop, hatoweza kubeba kombe hata la mbuzi msimu huu
Uefa anaenda kupigwa na barce, epl najua amebakiza match nne, najua anaweza shinda zotee, man city pia kwa hasira alizonazo match ngumu ilikuwa totnhum lakin jumamosi anaenda kuchukia point tatu mhimu ,man city nayeye pia ananafasi ya kushinda match zake tano zilizobaki na kuwa bingwa
Liverpool poleni sana
Mbona mnahangaika na uzii wangu wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]