Liverpool msimu huu hachukui kombe lolote

Barcelona wana bahati ya kipekee sana kukutana na timu yenye washambuliaji majeruhi.

Hongera zenu Barca, mtanijuza matokeo wadau, nalala maana mechi ya leo haitakuwa na ushindani wowote 7bu tayari Barca kashapita
 
Kesho kama nitafukuzwa kazi poa ila ngoja ninywe leo kesho kazini najipa likizo siwezi kuwakosea heshima liverpool my team.
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 6-1 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]msamehe hajui soka
 
Leo naona unafuraha sana
 

 
Liverpool atachukua UEFA. Tubet kama unabisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…