Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mwl. Amesema kesho atatumia mfumo Wa 1-0-9. Kuhusu atmosphere ya An field amesema yeye na wachezaji wake kamwe hawajawahi kutamani kucheza kwenye uwanja usiochangamka.
Kesho Martial anamagoli yake ya kutosha tu
Lukaku wangu kesho Kama kawa
Mungu ibariki Man U
man city pumzi itakata soonNaomba kuuliza man city ananunua mechi au
Kweli? Fafanua aisee.... Wale jamaa wako vzr!man city pumzi itakata soon
Naamin umeshaondoka so sitajibiwa comment yanguBeki zenyewe za kina Moreno na Matip... Kesho Liverpool mnachezea za kutosha. United wapo kwenye form sana. Kesho Liverpool ikipata shots on target hata mbili nahama JF.