Liverpool Vs Man Utd: Kesho Mourinho anaenda kupaki Meli

Liverpool Vs Man Utd: Kesho Mourinho anaenda kupaki Meli

Mwl. Amesema kesho atatumia mfumo Wa 1-0-9. Kuhusu atmosphere ya An field amesema yeye na wachezaji wake kamwe hawajawahi kutamani kucheza kwenye uwanja usiochangamka.

Kumbe ni Kinyume Chake!
Ni wazi Alimaanisha Atachezesha Timu Formation ya 9-0-1
 
Lukaku wangu kesho Kama kawa
Mungu ibariki Man U


Lukaku Wako Leo Alikuwa Sawa na Mcheza Sidimba!
Luka ni Mchezaji Wa Relegators tu na Wala si Wa Big Match..

Haya Ndiyo Madhara Ya Kuanza Kupenda Mpira 2010
 
Manure walitia aibu sana Jana, shoot on target 1 dakika 95???
 
Back
Top Bottom