3 - 1 ...sidhani mkuu kama city anaweza kushinda zote hizo kwa form yake hii ya kusuasua coz hata Soton amemletea kizaazaa last week.japo Anfield pagumu ila Liva ajiangalie sana
City atakuwa kama hana cha kupoteza kwnye hii game kwa hyo naona wakijitoa sana kushambulia
Result Ft Liverpool 1-3 Man city
kwa hiyo umeita watu wajadili nini?N aje guys
Jumapili hii kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka pale England hawa vidume wawili kwa mtazamo wangu ndo anapatikana bingwa wa Epl
Huku Liverpool wakiwa kwenye ubora wa hali ya juu msimu huu na hawajapoteza game hata moja wanatarajia kuwakaribisha Manchester city ambao hawajawa na Msimu mzuri ikiwa had sasa hiv wamepoteza mechi mbili.
kwa upande wangu nawapa nafas Manchester city kushinda hii mechi na Bernad Silva kuwa chachu kweny kutingisha ngome ya Liverpool, ;;
Result Ft Liverpool 1-3 Man city
Kabisa mkuu, afu hizi game zao toka msimu uliopita huwa kama wanaogopana, hawafunguki macho yanakuwa kujilinda zaidi kuliko kushambulia ndio maana ht mimi naiona droo.Kwagame zao za karibuni naona gemu ni suluhu.
Kama kushinda Man City ana percent mbili zaidi ya Liva kushinda hii gemu. Na sioni magoli mengi unless Liverpool wajichanganye kumfanyie dhihaka Sterling kama Chelsea walivyojichanganya.
Suluhu 52%
Ushindi. Liva 23% na Man City 25%.