Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pep atapata tabu sana kwenye Ukuta wake Ederson Laporte wote hawapo hilo tatzo
x1 of City should be
Bravo
Walkel Stones,Fernandinho Mendy
Gundogan De bryune Bernado silva
Mahrez Aguero Sterring.
huku liva wakiwa wako full mkoko hawana nyota yeyote alie majeruhi
Umeanza kuijua lini livaUkuta wa liverpool sio imara sana, ukichukulia mfano wa mechi ya arsenal, na hii ya genk unaona wazi kabisa kuwa vvd ameanza kuwa uchochoro, kwa upande wa anold kuna nafuu nafuu ila ampate mtu kama robertson wanaweza kuwa na chemistry nzuri
Pamoja na yote. Desemba bado.nCity anakufa.Pep lazima apindue meza kibabe
Liverpool wanaanzaga vizur ila wanamaliza vibaya
2010
Liver ni mteja kwa city.kumuwekea city ashinde mbele ya liva.
ni sawa kuweka rehani Nyumba ya urithi
Aisee tulishakwambia acha utabiri wa ajabuInatakiwa iwe draw ili wote wadondoshe point 2.
Yariga sport live ila ni kiarabu.Au Hesgoal.com.link