Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Man City anashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashakula mbili za mkweziMan City anashinda
DuuhAshakula mbili za mkwezi
Wanyuma hatujasasikia chief Ongeza sauti mkuuLiver anakufa 3-1.
Liver ni mteja kwa city.
Mkeka umechanika, pole mkuu!N aje guys
Jumapili hii kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka pale England hawa vidume wawili kwa mtazamo wangu ndo anapatikana bingwa wa Epl
Huku Liverpool wakiwa kwenye ubora wa hali ya juu msimu huu na hawajapoteza game hata moja wanatarajia kuwakaribisha Manchester city ambao hawajawa na Msimu mzuri ikiwa had sasa hiv wamepoteza mechi mbili.
kwa upande wangu nawapa nafas Manchester city kushinda hii mechi na Bernad Silva kuwa chachu kweny kutingisha ngome ya Liverpool, ;;
Result Ft Liverpool 1-3 Man city
Liver anakufa 3-1.
Kwagame zao za karibuni naona gemu ni suluhu.
Kama kushinda Man City ana percent mbili zaidi ya Liva kushinda hii gemu. Na sioni magoli mengi unless Liverpool wajichanganye kumfanyie dhihaka Sterling kama Chelsea walivyojichanganya.
Suluhu 52%
Ushindi. Liva 23% na Man City 25%.
Result Ft Liverpool 1-3 Man city
Hiki ndio ulimaaanisha au ulikoseaLiver anakufa 3-1.
Only Vice verse is true
Man City anashinda
Vvd anazidiwa sababu Matip hayupo ..Ukuta wa liverpool sio imara sana, ukichukulia mfano wa mechi ya arsenal, na hii ya genk unaona wazi kabisa kuwa vvd ameanza kuwa uchochoro, kwa upande wa anold kuna nafuu nafuu ila ampate mtu kama robertson wanaweza kuwa na chemistry nzuri
Kashinda njaaMan City anashinda
And vice versa is trueN aje guys