Liverpool Vs Manchester City; Njooni tujadili hii game

City anakufa tu kwasababu ya historia mpovu aliyonayo Anfield. Kama walishindwa kuzifunga zile liverpool chovu wasitegemee kuifunga hii ya Klopp hapo Anfield
 

Matip ni beki tegemeo wa Liverpool pia naye ni injury
 
Ukuta wa liverpool sio imara sana, ukichukulia mfano wa mechi ya arsenal, na hii ya genk unaona wazi kabisa kuwa vvd ameanza kuwa uchochoro, kwa upande wa anold kuna nafuu nafuu ila ampate mtu kama robertson wanaweza kuwa na chemistry nzuri
Umeanza kuijua lini liva

Cc King Ngwaba
 
City akitaka kwenda toe-to-toe na Liverpool kwa kuingia na formation ya 4-3-3 kwa ile defence yake ya kuungaunga, atachakazwa vibaya. Ni vyema Liverpool afungwe ili kupunguzwa kasi ila wale jamaa hawapotezi mechi kindezi na wanafight mpaka dakika ya 96
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…