Liverpool Vs Manchester City; Njooni tujadili hii game

Mkeka umechanika, pole mkuu!
 

Asante Shehe Yahaya
 
Saafi ufalme wa Guardiola naona unaanza kupotea hii ndio England bwanaa
 
Ukuta wa liverpool sio imara sana, ukichukulia mfano wa mechi ya arsenal, na hii ya genk unaona wazi kabisa kuwa vvd ameanza kuwa uchochoro, kwa upande wa anold kuna nafuu nafuu ila ampate mtu kama robertson wanaweza kuwa na chemistry nzuri
Vvd anazidiwa sababu Matip hayupo ..
..hajazoea kucheza na Lovren au Gomez ila akikaaga na Matip kupenya kazi sana labda kama hujafatilia game za liva
 
And vice versa is true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…