Liverpoolfc: Ulionywa kwamba KAUNDIME ni habari ingine ukabisha, sasa kiko wap?

Shika adabu yako, unajua nitakuachia radhi kwa kunidhalilisha..........

Kwanza nasubiri lile bulangeti langu uliloniahidi mwaka juzi

Haki ya nani mzee wangu Mtambuzi nahis kuahirisha maana hii kazi yako mpya nahisi unaitafuta jela kwa lazima kbs.
 
Last edited by a moderator:
Haki ya nani mzee wangu Mtambuzi nahis kuahirisha maana hii kazi yako mpya nahisi unaitafuta jela kwa lazima kbs.
Unajua kuna kitu unaafuta wewe..
Tangu nilipokurudisha kijijini nilikuwa naishi kwa amani lakini sasa umerudi mjini, sasa unataka kunipandisha presha..

We subiri urudi nyumbani....... Hakuna rangi utaacha ona.............. Source Preta
 
Last edited by a moderator:
kaka Mtambuzi kwa kulike nahisi unaongoza hapa jf
congraturate:A S 112::A S-rap:
 
Last edited by a moderator:
Wadau wengine mna wake contact za Kaundime za nini??? Tena Mchambuzi mtutunzie vijana wetu plse msiwapotezee Bongo!!!
 
Last edited by a moderator:
aisee kumbe mjeda kaleta kitu kipya.
 

liverpooFC
Jarbu kufanya mchakato wa Supu + mtori mzito ili uweze kurudisha nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…