Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shika adabu yako, unajua nitakuachia radhi kwa kunidhalilisha..........
Kwanza nasubiri lile bulangeti langu uliloniahidi mwaka juzi
Unajua kuna kitu unaafuta wewe..Haki ya nani mzee wangu Mtambuzi nahis kuahirisha maana hii kazi yako mpya nahisi unaitafuta jela kwa lazima kbs.
Shika adabu yako, unajua nitakuachia radhi kwa kunidhalilisha..........
Kwanza nasubiri lile bulangeti langu uliloniahidi mwaka juzi
Mzee nakuomba ukanusha kauli yako tafadhal