Hii khabari ina mapana yake na huyo LiverpoolFC huyo kaingia Dar kwa mbwembwe ila mwenye kesi ya kujibu ni Kaundime huyo dada ana kesi ya ubakaji wallahi.
Ila nikipata nauli nitakwenda kumsabahi.
Niambie Mtambuzi, LiverpoolFC yuko hospital ya Mwananyala au?
Mungi
Kwani tatizo liko wapi. Sina maana mbaya.
Chalii kauza timu aiseee, yaani huku kuna akina Kaundime mara alfu!! Ngoja nifanye itifaki arejee.
Mungu yu mwema best,
Ukitaka kujua machalii wa A town wakoje, na kama mkeo ni aina ya Kaundime hebu weka pesa pembeni na Mkeo pembeni afu uwaangalie macho wamekodoa wapi..
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
LiverpoolFC kaundimwa na kaundime...