Liverpoolfc: Ulionywa kwamba KAUNDIME ni habari ingine ukabisha, sasa kiko wap?

Liverpoolfc: Ulionywa kwamba KAUNDIME ni habari ingine ukabisha, sasa kiko wap?

Hii khabari ina mapana yake na huyo LiverpoolFC huyo kaingia Dar kwa mbwembwe ila mwenye kesi ya kujibu ni Kaundime huyo dada ana kesi ya ubakaji wallahi.

Ila nikipata nauli nitakwenda kumsabahi.
Niambie Mtambuzi, LiverpoolFC yuko hospital ya Mwananyala au?

Chalii kauza timu aiseee, yaani huku kuna akina Kaundime mara alfu!! Ngoja nifanye itifaki arejee.
 
Mungi
Kwani tatizo liko wapi. Sina maana mbaya.

Ukitaka kujua machalii wa A town wakoje, na kama mkeo ni aina ya Kaundime hebu weka pesa pembeni na Mkeo pembeni afu uwaangalie macho wamekodoa wapi..

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Tena wewe bila risasi 20 za SMG kifuani unaweza kuzinduka.... Ole wako ukutane na chalii Mungi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mungi.
Niko vizuri. Risasi zinageuka maji.
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kujua machalii wa A town wakoje, na kama mkeo ni aina ya Kaundime hebu weka pesa pembeni na Mkeo pembeni afu uwaangalie macho wamekodoa wapi..

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mungi.
Kuna utani lakini si ktk mke arifu.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa kaundime aleta heka heka. Hata weye ungeachaje kuona rangi zote ukizingatia katoka kwenye baridi ile ambayo ni lazima mkifanya muwe mmejifunika blanket.
 
KOKUTONA unajua una kesi ya kujibu wewe
Kwa nini siku ile uliniacha bendera ikiwa full mlingoti bila taarifa
Halafu eti ukasingizia uliona sisimizi wakati hakukuwa na sisimizi
Msalimie sana Mtambuzi

Ha ha ha haaaaaaaa.......huyo ndo @Mr Rocky huyo.

Niambie best. Uko powa?
 
Hahahahahaaaaa!!! Mtambuzi , mwambie chaliii asilete utani, na Mwananyamala, huko kunaitwa "GUSA UNATE"
 
Back
Top Bottom